Kwa wale wasio na...

Kwa wale wasio na...

:majani7::majani7::majani7:[/QUOTE BAK huu wimbo ni kwa ajili ya mateja wote tuwapelekee mateja waongeze dozi au?
ila mi unaniudhi ka hii minyimbo mweh!
sijui hili file litaisha leo au sijui ntamalizia kesho sina hakika sana hebu chek na mimi jumatatu asubuhi ntakupa jibu!
 
Last edited by a moderator:
babu naona wewe kwako inaeleweka mie kwangu majanga matupu ila Mungu yupo manake ukiona unapigwa upepo sana ujue una nguvu za kustahimili.

dah! dogo sasa nikiachna nae vipi?? mm hapa hata lije greda sing'oki labda mauti tu.
ahahaaa mimi dada leo nimetoka kapa mita bado inasoma ziiro
 
babu naona wewe kwako inaeleweka mie kwangu majanga matupu ila Mungu yupo manake ukiona unapigwa upepo sana ujue una nguvu za kustahimili.

dah! dogo sasa nikiachna nae vipi?? mm hapa hata lije greda sing'oki labda mauti tu.
ukiachana kwa siku ya leo baada ya valentine..dada utamwachaje shemeji!!si utanisumbua nikutunze kaka ako..ahahaaaaaa
 
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Jamani, hawa wazee hawa kaa nao mbali, naona kidole chako kinataka kunichoma jicho

Mie kuna mmoja wao namuadimaya kikweli kweli, ila namuonea aibu kufunguka :majani7::becky::majani7:

Hata mimi kuna mbabu humu lakni simtaji ni SECRET ADMIRER ila huwa anajihisi nimemdondokea..Salamu zangu za Valentine zikufikie popote ulipo hapa JF..Copy Asprin Dark City (nb mliokopiwa hamuhusiki ni itifaki imezingatiwa)
 
Hivi visharo vitamu??

Mbona huwa vinaruka ruka tu kama mtetea anayetafuta pa kutaga

Havina konsentresheni

visharo vitamu ila ptuuuuuuuu vinapiga mizinga ,vinadeka ka demu.. Yaani leo utachunwa hadi hela ya babako
 
Babu Dc, Kwa kweli umenikuna sanaaaaaaaaaaaaaa! na umenikumbusha mbali kiasi machozi ya furaha yamenitoka nikikumbuka kitu siwezi kukisema , Duh! Asante sana kwa kunikumbusha kupitia huo mwimbo wa Shania Twain.

Naomba nikupongeze Lisa,

Ni watu wachache sana hupata hayo machozi ya furaha...wengi wetu huishia kulia yale ya uchungu na yanayoacha vidonda kwenye mioyo yetu...

Labda jaribu na hii namba 2 ya Bibi,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
huyo mbabu hata wewe unamjua tena yupo tanga kwa bibi

Sasa mbona hutaki kujibu ili utumiwe ticket na kuwahi mnuso?

Shauri yako....ukichelewa idadi ya Bibi ikakamilika atafunga mahesabu....

Ila kwa Babu hakuna kuvaa RED...ni bibi tu atakuwa Valentine..lol!!

Babu DC!!
 
Jamani, hawa wazee hawa kaa nao mbali, naona kidole chako kinataka kunichoma jicho

Mie kuna mmoja wao namuadimaya kikweli kweli, ila namuonea aibu kufunguka :majani7::becky::majani7:
hahahaa. Kama ni Asprin mie hata bure simtaki ila Babu Dark city hapa huyu ni kama gesi ya Mtwara alivo na thamani. lakn hata hivyo sio yeye..MY SECRET ADMIRER anajijua!!
 
Last edited by a moderator:
babu naona wewe kwako inaeleweka mie kwangu majanga matupu ila Mungu yupo manake ukiona unapigwa upepo sana ujue una nguvu za kustahimili.

dah! dogo sasa nikiachna nae vipi?? mm hapa hata lije greda sing'oki labda mauti tu.

Usihofu dada yangu gfsonwin.....Mungu wetu ni mkubwa sana...

Hatakuacha kamwe kwani imani yako yote i kwake....

ahahahahhahahhahhahhaahahaah huu wimbo bana!
mh!NGOJA NINYAMAZE!
ila BAK na wewe mambo gani sasa haya!
wenzio tupo kazini sa hz!
ah!

That's priming....

Wewe endelea na kazi, ila ujue kuwa chemical reaction imeshaanza.....

Nakutakia V njema (hii herufi nayo imekaa vibaya aisee) na kila la heri!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom