Happy Valentine Sister.
Usisahau Bata mzinga wa kutokoswa
:majani7::majani7::majani7:
:mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Huu wimbo huuuuu!
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
Nahisi wote ni wazima, kama wewe ni mgonjwa pole sana, Mungu akuguse jioni hii upate wepesi.
Nachukua nafasi hii kutoa wito kwa wale woote wasio na wapenzi a.k.a SINGLES kutumia ukurasa huu kutuma maombi kwa mwana MMU yeyote ambae ungependa uanze na kumaliza valentine nae iwe kwa PM, hapa hapa kwenye post au vyovyote itavyowezekana. Tufanye hivi ili kupunguza idadi ya watakaokuwa wapweke kwa kipindi hiki muhimu. Mimi naanza kutuma kwa Asprin, najua ni mzee sana, tena mume wa mtu lakini kesho naomba amkimbie bibi kwa siku nzima ili anifariji.......
Wapweke wooote Naomba mtiririke sasa kuomba company kabla hujawahiwa
swtlo Kaizer na dada mkubwa AshaDii kesho tuwe pamoja sana.
lkn kipekee kabisa sitoweza kuwasahau wanangu Ronn M, na noahism, wadogo zangu Mentor(pole kwa kuumwa), nyabhingi, platozoom, Blaine, Smile, kaka zangu wote Mr Rocky ( aunts zangu wazima), SnowBall, Bazazi, Dark City Mtambuzi WABHEJASANA, Jiwe Linaloishi, dada na wadogo zangu wa kike FP Kaunga Mwali Kongosho King'asti Madame B Paloma amu
mashostito wa ukweli snowhite na cacico have happy V day kwenu nyooote!!
i hope my choice chooses me, lol

uishie hapo hapoMie namtumia******** namuona yuko online....nogopa mumtaja.....
hata mimi kuna mbabu nataka kumtaja ila naogopa!Pole mdogo wangu....
Kila kitu kina gharama dada....Just bear it...
Otherwise, nakutakia V njema,
Babu DC!!
hata mimi kuna mbabu nataka kumtaja ila naogopa!
huyo mbabu hata wewe unamjua tena yupo tanga kwa bibiMtaje tu Smile,
BTW, Bibi kanituma niwaite wajukuu wote tutakule nao V day....
Kwa hiyo karibu sana tutakapate makachumbari na viburudisho pale Nyumbani Hotel...
Nikutumie ticket ya kindege cha saa 8 mchana??
Babu DC!!
Nimetia breki bana...naogopa kugonganisha magari....uishie hapo hapo
Ahsante sana dada yangu wa ukweli gfsonwin,
Hii V day hata sijui imekaaje....
Nawatakia wote heri na faraja...muitumie vizuri siku hii!!
Babu DC!!
happy valentine mdada,ukiachana na shemeji nitafute kaka nikutoe "out"