Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Nina hobby na uonevu ujue?
ukiona simba mzee jua kakwepa mishale mingi, anakuwa 'more interesting ans exciting'
ukiona simba mzee jua kakwepa mishale mingi, anakuwa 'more interesting ans exciting'
Siwezi kuona kitu kwa sababu unahangaika kushoot a dead target...
Kwani preys ambazo mabado zinaweza kutimua mbio kama za swala huzioni?
Hapa ninachoona mimi ni uonevu tu...!!
Babu DC!!