Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,139
wasalimie sana aunts zangu waambie nawapenda sanasana
shukrani my dear... natumai salamu zangu umezipata thro... sms
wasalimie sana aunts zangu waambie nawapenda sanasana
swtlo Kaizer na dada mkubwa AshaDii kesho tuwe pamoja sana.
lkn kipekee kabisa sitoweza kuwasahau wanangu Ronn M, na noahism, wadogo zangu Mentor(pole kwa kuumwa), nyabhingi, platozoom, Blaine, Smile, kaka zangu wote Mr Rocky ( aunts zangu wazima), SnowBall, Bazazi, Dark City Mtambuzi WABHEJASANA, Jiwe Linaloishi, dada na wadogo zangu wa kike FP Kaunga Mwali Kongosho King'asti Madame B Paloma amu
mashostito wa ukweli snowhite na cacico have happy V day kwenu nyooote!!
Housegirl wako mwenye mvuto bado yupo?
yupo unamtaka nikupe//
Hapana, happy valentine.
Leo tutatoana roho kwa hivi vibabu, duhhhh vyenyewe vichache basi kaaaz kweli kweli,ningekutana na kimoja leo hata hili wigi kingenipatia hela ya kubadilishaNyie wadada, vidole na macho
Tusije shikana ubaya bure
Be warned!
mimi mtalaamu wa kunasua......pia nategua mitego,vigingi na vikwazo vyote......njooni mjihakikishie ulinzi wa uhakikaJamani kwa kina dada na wamama mimi nina dawa ya kufanya dushelele zikwame na kuganda hata kama ana 4wd so mnakaribishwa ku-insure mali zenu!!!
ulivyoitikia haraka mwenyewe.......yupo unamtaka nikupe//
ulivyoitikia haraka mwenyewe.......
mambo ya binadamu aya..full ujotojoto........full kutamanishana......aaa kwa heri jamaa asije kuanza kuona kiualaf ana mimba sasa atakuwa mtamuje kwenye hii val??
ahahahahhahahhahhahhaahahaah huu wimbo bana!
mh!NGOJA NINYAMAZE!
ila BAK na wewe mambo gani sasa haya!
wenzio tupo kazini sa hz!
ah!
Heeee. Usinchekeshe (sosi Faiza fox)..Kwani wewe ulikuwa hujui?Ngoja nikutajie list ya mababu ninao wajua. Mwita Maranya , Dark City The Boss , Asprin , Kaizer , Invisible Superman Thanda , Mtambuzi Nyani Ngabu list goes on....Na siku nyingine nitawataja mabibi