FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Kumbe imeshapita ..?
Sasa rafiki FP unataka kunipa kazi ya kufukunyua posts zako zaidi ya 4,000 ili kwenda kutafuta ushahidi!? Vibaya hivyo rafiki!!!
Ahahahaaaa.No comment please
Babu Dark City naona ngekxi limemuangukia. Hili jimovie liliishia wapi jameni?
Babu kalimaliza kiutu uzima!
No major harm to either side kwa baraka za bibi.
Umbea, nitakusuta kwa matarumbeta, segere na mnanda
Usiusemee moyo
Kulikuwa na 'harm' sana jana
Bibi alikuwahi saa kumi alasiri?? Mie nilidhani utakuwepo hadi jioni jioni?
Hapo blue mbona una-insist sana, unataka kuninyima nini?
Uzuri mie valentine ni mwaka mzima, so sio lazima tusubiri next year:confused2:
Kwa bangi tu wewe sikuwezi.....
Haya...peleka maombi yako kwa bibi kama target ni babu...
Ila naamini utapata unachokitafuta...:smiling::smiling::mwaaah:
Babu DC!!
Kama kawaida uwono liandaliwa na KOKUTONA na YNNAH, mtamu aisee....!
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
Ngoja niandae waraka wa kumuomba bibi
Hatimaye. . .
Ahsante sana Katibu,
Ila unayo kesi ya kujibu....
Inakuwaje unawatoroka members kiasi hicho??
CC: KOKUTONA, CHUAKACHARA, Arabela, YNNAH
Babu DC!!
Best wishes.........(ila kweli unataka kusema kuwa unazo nguvu na resources za kupoteza kiasi hicho??)
Babu DC!!
Ahsante sana Katibu,
Ila unayo kesi ya kujibu....
Inakuwaje unawatoroka members kiasi hicho??
CC: KOKUTONA, CHUAKACHARA, Arabela, YNNAH
Babu DC!!
Kwani napoteza? Si nawekeza?
ukiwa mjasiria-MMU usiogope ku-take risk
Bibi mtundu, uje unialike tufundishane mambo ya vijana ya akina madame B, ya sriisam
Sometimea wanawake ni wajanja
Huwa hawasemi wazi wanam-adimaya nani
Kama anamtania tania kumbe anasubiri mwenzie ajiongeze, hujui hilo
Afu huyo wa mwisho si ataniban nikimfungukia jamani?
Am waiting....
Hatimaye.:glasses-nerdy:
Haya bwana,
Dunia ni yako na chaguo ni lako....
Ila hata aibu uitarajie...
Babu DC!!
Hahahahah lol! 😛hoto:
He he he, Babu umeona hapo juu?
Ona alicho-highlight red BAK, utagundua kitu hivi