Kwa wale wasio na...

Kwa wale wasio na...

Naomba nikupongeze Lisa, Ni watu wachache sana hupata hayo machozi ya furaha...wengi wetu huishia kulia yale ya uchungu na yanayoacha vidonda kwenye mioyo yetu... Labda jaribu na hii namba 2 ya Bibi, Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Babu Dc Inaonyesha bibi anafaidi sanaaaaaaaaaaaaaaa! Loh! huo unanikumbusha wakati naenda kwake siku za jumamosi saa nne asubuhi , unakuta keshafanya usafi na kauweka huo wimbo, basi ukifika unavyopokelewa kwa shangwe , Loh! Embu niucopy nikamuwekee leo, maana siku hizi wala sishangiliwi tena nikirudi home wala kupokelewa kwa kiss. leo nao=enda kudai haki yangu ya msingi ya kupikelewa wakati narudi kwa ofisi kama alivyokuwa ananipokea nikienda kwake.
 
Usihofu dada yangu gfsonwin.....Mungu wetu ni mkubwa sana...

Hatakuacha kamwe kwani imani yako yote i kwake....

That's priming....

Wewe endelea na kazi, ila ujue kuwa chemical reaction imeshaanza.....

Nakutakia V njema (hii herufi nayo imekaa vibaya aisee) na kila la heri!!

Babu DC!!
mi nililiona saa nyingi sana hili nikaona ninyamaze tu
 
Hata mimi kuna mbabu humu lakni simtaji ni SECRET ADMIRER ila huwa anajihisi nimemdondokea..Salamu zangu za Valentine zikufikie popote ulipo hapa JF..Copy Asprin Dark City (nb mliokopiwa hamuhusiki ni itifaki imezingatiwa)

Funguka tu mdogo wangu,

Leo mmepewa ruksa na Mrembo by Nature,

Itumie vizuri basi,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
eheheeee vigrandpa vina mvuto hivo?????????/ visweet sana kwa valentine.tujipange

Mbona sasa unaendekeza uzembe??

BTW, bado masaa tu Val day iishe.......shaurilo!!

Babu DC!!
 
Jamani, hawa wazee hawa kaa nao mbali, naona kidole chako kinataka kunichoma jicho

Mie kuna mmoja wao namuadimaya kikweli kweli, ila namuonea aibu kufunguka :majani7::becky::majani7:

Kwani umezuiwa kufunguka??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Unaniumiza moyoni kwa maneno hayo ujue?

Yaani namuadimaya ila basi tu, ukimtaja taja siku pendwa kama hii?!

hahahaa. Kama ni Asprin mie hata bure simtaki ila Babu Dark city hapa huyu ni kama gesi ya Mtwara alivo na thamani. lakn hata hivyo sio yeye..MY SECRET ADMIRER anajijua!!
 
mimi sijapata aliyenipm jamani muda unaenda sana nitabaki mpweke
 
Naomba nikupongeze Lisa, Ni watu wachache sana hupata hayo machozi ya furaha...wengi wetu huishia kulia yale ya uchungu na yanayoacha vidonda kwenye mioyo yetu... Labda jaribu na hii namba 2 ya Bibi, Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Babu Dc Inaonyesha bibi anafaidi sanaaaaaaaaaaaaaaa! Loh! huo unanikumbusha wakati naenda kwake siku za jumamosi saa nne asubuhi , unakuta keshafanya usafi na kauweka huo wimbo, basi ukifika unavyopokelewa kwa shangwe , Loh! Embu niucopy nikamuwekee leo, maana siku hizi wala sishangiliwi tena nikirudi home wala kupokelewa kwa kiss. leo nao=enda kudai haki yangu ya msingi ya kupikelewa wakati narudi kwa ofisi kama alivyokuwa ananipokea nikienda kwake.

Kuna mganga fulani huku Tanga anatoa dawa ya kurekebisha mambo yako...

Naomba uwasiliane na Smile au Zion Daughter wakusindikize...

By the way.....fanya jitihada leo iwe zamu yako kumbeba mzee akirudi kwa job, ...kama weight amekuzidi sana, omba wenye maguta wakusaidie ili lengo lako litimie...

Best wishes,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Unaniumiza moyoni kwa maneno hayo ujue?

Yaani namuadimaya ila basi tu, ukimtaja taja siku pendwa kama hii?!

Shauri yenu,

Kusema hamtaki kusema, mnakaa kuwavimbisha wazee wa watu vichwa vyote.....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Naona aibu
Si unajua mie mwali?

Kweli kabisa Kongosho...mwanamke na aibu ni mapacha...

Umenikumbusha kaneno alinambia Bibi juzi, eti....."Mwanamke manyonyo kwani makalio hata wanaume wanayo...lol"!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom