Kwa wale wanaoishi Scandinavia na Ulaya Magharibi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
56,956
210,473
Mnapokwenda kutafuta maisha na kuwekeza nyumbani, mlishafikiria maisha ya uzeeni na gharama za matibabu? Nchi za Scandinavia na baadhi ya nchi za Ulaya matibabu ni bure hasa ukiwa umelipa tax katika maisha yako ya kazi.

Unapoamuamua kustaafu nyumbani, umejenga ghorofa zuri tu, lakini maradhi ya uzee nayo yanakusogelea. Hospitali zetu zinahitaji Bima ya Afya wakati nchi uliyofanyia kazi ujanani unaweza kupata tiba bure.

Wa Jamaica hawana matatizo, wakiingia Ulaya wanaona ni mother country, wananunua nyumba na wala hawawazi tena backa yard (nyumbani). Matatizo yako kwa Waafrika, wanapenda kuendeleza nyumbani.

Waghana na Wanigeria wengi walioingia Ulaya miaka ya 60, walijenga kwao. Sasa wakiwa na miaka 80, 70 gharama za matibabu hawazimudu tena, wenye watoto wanarudi Ulaya kupata matibabu ya bure. Wasio na watoto na hawakuacha nyumba Ulaya kurudi inakua ni vigumu.

Afrika tunahitaji kuboresha mfumo wa afya. Wazee wenye pesa wanajipangia check up South Africa mara mbili kwa mwaka kama $5,000.
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
67,179
129,859

Umenena vyema. Ngoja na Mimi nije huko kununua nyumba moja matata sana.
Naomba unitafutie dalali mzuri, sii dalali akanionyeshe nyumba self contained halafu master Ina choo Cha shimo, tutapigana aisee
 
don-mike

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
230
441
Inategemea ntu na ntu.

Mwisho wa siku sote ni wapitaji katika dunia hii, hata utibiwe vipi mwisho wa siku utaondoka tu, hivyo nivyema ukafanya kile kinachokupa amani.

Watanzania kwa ujumla kilichotuharibu ni kuzaliwa kwenye ujamaa, yani mtu hata uwe wapi bado utakumbuka nyumbani, utamkumbuka mjomba, shangazi, etc, wenzetu kwao familia ni baba mama mtoto, kaka na dada wanapambana kivyao. Obama akiwa senetor tu, angeweza amisha ndugu zake wa karibu USA, ila amekulia kwenye ubepari.
 
Gharama za kutibu magonjwa kama ya upumuaji, unahitaji mtungi wa oxygen nyumbani kwa maisha yako yote. Au kisukari na magonjwa ya moyo.

Hakuna anaekubali kufa ilhali anajiona, any way maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
 
Pamoja na mapungufu yote bongo kuna raha yake.

My Opinion, kama umekaa nje hadi unafika 60 yrs na hujawekeza bongo kwenye biashara ambazo zitakuwa zinakupa maisha kama uliyoishi nje, ni bora kuendelea kubaki huko huko nje.

Ila wengi wao wanarudi bongo wakijua pension wanayopata huko kwa maisha ya bongo wataendelea ishi vizuri.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
56,956
210,473
Pamoja na mapungufu yote bongo kuna raha yake.

My Opinion, kama umekaa nje hadi unafika 60 yrs na hujawekeza bongo kwenye biashara ambazo zitakuwa zinakupa maisha kama uliyoishi nje, ni bora kuendelea kubaki huko huko nje.

Ila wengi wao wanarudi bongo wakijui pension wanayopata kwa maisha ya bongo wataendelea ishi vizuri.
Uzee wa kwenye nursing home si sawa na uzee wa nyumbani kwako na una wasaidizi. Ndiyo maana nilisema wenye pesa wanakwenda South Africa kwa check up, unapewa dawa za moyo unarudi bongo kutulia.
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
5,134
4,773
Umesahau Wachaga wanaojengea maghorofa ndege huko vijijini, maghorofa ambayo hawawezi kuja kuishi wala watoto wao hawawezi kwenda kuishi unawamulika Waghana, isitoshe hayo matibabu siyo bure kama unavyofikiria, wamelipia kwa miaka mingi waliofanya kazi kupitia kodi walizokatwa !
 
don-mike

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
230
441
Uzee wa kwenye nursing home si sawa na uzee wa nyumbani kwako na una wasaidizi. Ndiyo maana nilisema wenye pesa wanakwenda South Africa kwa check up, unapewa dawa za moyo unarudi bongo kutulia.
hivi hapa tumekosa kabisa diaspora wa kuwekeza kwenye medical facility kwa kiwango cha US/EU ili watu waje tibiwa hapa hapa.
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,575
7,031
Mnapokwenda kutafuta maisha na kuwekeza nyumbani, mlishafikiria maisha ya uzeeni na gharama za matibabu? Nchi za Scandinavia na baadhi ya nchi za Ulaya matibabu ni bure hasa ukiwa umelipa tax katika maisha yako ya kazi.

Unapoamuamua kustaafu nyumbani, umejenga ghorofa zuri tu, lakini maradhi ya uzee nayo yanakusogelea. Hospitali zetu zinahitaji Bima ya Afya wakati nchi uliyofanyia kazi ujanani unaweza kupata tiba bure.

Wa Jamaica hawana matatizo, wakiingia Ulaya wanaona ni mother country, wananunua nyumba na wala hawawazi tena backa yard (nyumbani). Matatizo yako kwa Waafrika, wanapenda kuendeleza nyumbani.

Waghana na Wanigeria wengi walioingia Ulaya miaka ya 60, walijenga kwao. Sasa wakiwa na miaka 80, 70 gharama za matibabu hawazimudu tena, wenye watoto wanarudi Ulaya kupata matibabu ya bure. Wasio na watoto na hawakuacha nyumba Ulaya kurudi inakua ni vigumu.

Afrika tunahitaji kuboresha mfumo wa afya. Wazee wenye pesa wanajipangia check up South Africa mara mbili kwa mwaka kama $5,000.
Bongo nyoso yani mstaafu aliyetumikia taifa zaidi ya miaka 35 Anu 28 na kukatwa Kodi anapostaafu tu na bima ya afya inasitishwa yani unawaza Sasa huu uzee nani amuhudumie Kuna jambo la kujifunza hapa

Miye nadhani ufike mda katika huduma tunazopata kuwepo na tozo ya afya kwenye Kila huduma ili huduma ya afya kwa Kila mtanzania iwe bure na ziwe huduma bora si bora huduma kwani suala la afya linatesa watu watanzania wengi wanakuja kupata virema vya maisha kwa kukosa matibabu kwa wakati kisa gharama za huduma za afya wanashindwa zimudu
 
Acha uongo, bima ya afya NHIF haisitishwi kama ulikuwa mtumishi.
 
jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
8,055
6,355
Kweli kabisa kwenye suala la huduma ya afya.

Ila mzee wangu aliishi UK kama miaka 23. Nashangaa hakutaka kutumia fursa hiyo wala nini. Hata ile kwenda kutembea hakutaka kabisa. Madai yake upweke wawauwa wazee huko kuliko magonjwa. Akadai home is where your heart is. Na kuzidi kudai bongo raha pamoja na shida zake.
Twakubaliana nawe kuishi ni kupanga na kupanga ni kuchaguwa.
 
Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
7,945
6,457
Check up haichukui zaidi ya siku mbili.
Pia kama una bima ya uzeeni, mfano States una medicare na AARP card, unatibiwa na kulazwa bure.
Ukimaliza unadandia Ethiopian Airways unarudisha mpira kwa kipa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

17 Reactions
Reply
Top Bottom