Kwa wale tulio onja bulgur, tubadilishane uzoefu

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,480
Kwanza niwatakie maandalizi mema ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya.

Wakati nachakata mipango ya mjini, nimewaza bulgur. Hii kitu walikua wanapewa watoto wa chekechea, kwa baadhi ya shule za chekechea jinini Dar es Salaam. Uji au chakula kilichopikwa na bulgur

Hii ni mwanzoni mwa miaka ya 80, yaani 1980. Uji huo na chakula hicho, vilikua vizuri na vitamu, pamoja na uzuri na utamu pia viliondoa njaa kwa wanafunzi na kuwapa furaha.

Nimefanya tafiti kidogo,asili ya bulgur ni magharibi ya bara la Asia na ni mchanganyiko wa grains ambazo zime chemshwa kidogo.

Nakisi ya ulewa ni kwamba kwanini chakula hiki kiliachwa kutolewa? Je kilikua na mdhara?
 
Kwanza niwatakie maandalizi mema ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya.

Wakati nachakata mipango ya mjini, nimewaza bulgur. Hii kitu walikua wanapewa watoto wa chekechea, kwa baadhi ya shule za chekechea jinini Dar es Salaam. Uji au chakula kilichopikwa na bulgur

Hii ni mwanzoni mwa miaka ya 80, yaani 1980. Uji huo na chakula hicho, vilikua vizuri na vitamu, pamoja na uzuri na utamu pia viliondoa njaa kwa wanafunzi na kuwapa furaha.

Nimefanya tafiti kidogo,asili ya bulgur ni magharibi ya bara la Asia na ni mchanganyiko wa grains ambazo zime chemshwa kidogo.

Nakisi ya ulewa ni kwamba kwanini chakula hiki kilichakutolewa? Je kilikua na mdhara?
... kiroboto hii haimhusu aliingia mjini '88.
 
Back
Top Bottom