Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa'...hapa usimpeleke mwanao kabisa!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,224


8221006956_56b3915ab5.jpg



Mombasa pana hatari wakuu!....mwanao aeza kurudi amegeuka kimtindo eti!....:bange:
 
Kila kitu kimeandikwa kiingereza. Kwa nini hilo moja tu ndo mnalitafsiri kwa namna mnavyotaka ninyi?
 
hoho.jpg
Ab-Titchaz kumbe nawe ni mtaalamu wa kuchakachua!! hayo maandishi ya juu ni ya kubuni, tena yamekatwa vipande vipande.
 
Last edited by a moderator:
8221006956_56b3915ab5.jpg

hii ni PICHA DUKA MAANDISHI YA JUU NA BAADHI YA HERUFI INAONYESHA NI UCHAKACHUAJI!KAJIPANGE UPYA!
 
Kila kitu kimeandikwa kiingereza. Kwa nini hilo moja tu ndo mnalitafsiri kwa namna mnavyotaka ninyi?
Ukingalia kwa makini, lile neno KAA UCHI limekuwa edited. Angalia background yake katika hilo neno, utagundua ninachosema hapa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom