Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Mombasa pana hatari wakuu!....mwanao aeza kurudi amegeuka kimtindo eti!....:bange:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mombasa pana hatari wakuu!....mwanao aeza kurudi amegeuka kimtindo eti!....:bange:
kwani wasiochana ndio wanaruhusiwa ku kaa uchi?Bahati nzuri ni shule ya wasichana pekee.
Zumbwe atogolwe
Ukingalia kwa makini, lile neno KAA UCHI limekuwa edited. Angalia background yake katika hilo neno, utagundua ninachosema hapaKila kitu kimeandikwa kiingereza. Kwa nini hilo moja tu ndo mnalitafsiri kwa namna mnavyotaka ninyi?
View attachment 72621
hii ni PICHA DUKA MAANDISHI YA JUU NA BAADHI YA HERUFI INAONYESHA NI UCHAKACHUAJI!KAJIPANGE UPYA!
Ukiangalia TEXT - maneno "KAA UCHI" na "PRIMARY SCHOOL" "font" zake sio sawa...! Maneno "KAA UCHI" yamekuwa "pasted"...!