Ushauri kwa mabinti wenye miaka 18 - 35

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,153
Ukihitaji salamu nenda uswahilini, kwangu utaula wa Chuya!

Sikutishi Sikupangii lakini huu ndiyo uhalisia wenyewe, ipo siku utalia na kusaga meno.

Yaani binti mzima mwenye umri kuanzia 18 - 30, hufanyi shughuli yeyote na huwezi kuzitumia nguvu zako kwenye uwekezaji wa maisha yako na mwanao, wewe kutwa kwenye Night club, kutwa kunywa pombe, kutwa kutoka "out", kutwa kutumikishwa kwenye ngono, kutwa kuvaa nusu uchi, kutwa kujisinapu, kutwa kuiga mitindo ya mavazi ya kihuni, kutwa kuvuta shisha, kutwa kubadili wanaume.

Kila weekend wewe umekuwa wa kubadili bar, hakuna Bar au kiwanja cha starehe ambacho hapa mjini hukijui!

Yaani umesoma lakini huna plan yeyote kila siku bora liende, umezaa mtoto ukaamua umrudishe huko kijijini kwenu ili uje uangaike na mji, umezaa mtoto umeamua kumtupia sista wako wewe ukaona uje mjini uruke ruke, umezaa mtoto umemtelekeza kwa shangazi yako ukaona uje mjini upuyange.

Utakuja kushituka umefikisha miaka 40 ndugu yangu na huna mbele wala nyuma kazi yako itakuwa kulaumu watu.

USHAURI

1. Achana na mambo ya kwenye bar, siyo ujanja kila kiwanja cha starehe wewe kukifahamu, unapoteza muda wako bure, huo muda ni heri upambane na maisha yako na ujiwekee savings zitakazokuja kukusaidia wewe na mwanao.

2. Muombe Mungu (fanya Ibada kwa imani yako).

3. Vaa vizuri na kwa heshima.

4. Jali Afya yako, kama unakunywa pombe kunywa kiasi au acha kabisa, acha kuvuta shisha ni hatari kwa afya yako.

5. Acha ngono.

6. Acha Tamaa.

7. Panga chumba/nyumba ambayo unaweza kuzimudu gharama.

8. Usipende Show-off itakuja kukigharimu kwasababu unaigiza maisha.

9. Ishi kwenye uhalisia.

10. Ishi maisha halisi kwasababu 'MAISHA HALISI NI MAISHA RAHISI".

11. Kama una marafiki ambao hawajielewi kila siku wanataka starehe tu WAPIGE CHINI, kuanza upya si dhambi.

12. Badili tabia ili uwashangaze wengi.

13. Tafuta shughuli ya kufanya.

14. Tunza kidogo kidogo tu pesa twako.

15. Ukipata kikubwa jitahidi utafute kieneo nje ya mji ununue.

16. Anza ujenzi kidogo kidogo kwa kudunduliza,Mungu atakusaidia utaweza kwasababu penye nia pana njia.

Ukiendelea kurukaruka siku ukipata matatizo watu wasipokujali utawaona wabaya tu, mwenye kuyaharibu au kuyatengeneza maisha yako ni wewe mwenyewe.

Hao ndugu uliowaachia mtoto wako nao ushawachosha kwa tabia zako inapaswa ubadirike. Wewe endelea kusema "Nakula ujana" wakati umri unaenda na huna mbele wala nyuma.

Siku ukifa mwanao utamuacha kwenye mazingira gani? Je, unawaamini ndugu zako au mwanao nae aje arukeruke kama wewe? Muda wa kutengeneza maisha yako ni sasa, achana na anasa, hazitokupeleka popote zaidi ya kukuharibia fyucha!
 
Ukihitaji salamu nenda uswahilini,kwangu utaula wa Chuya!.

Sikutishi Sikupangii lakini huu ndiyo uhalisia wenyewe,ipo siku utalia na kusaga meno.

Yaani Binti mzima mwenye Umri kuanzia 18 - 30,Hufanyi shughuli yeyote na huwezi kuzitumia nguvu zako kwenye uwekezaji wa maisha yako na mwanao,wewe kutwa Kwenye Night club,kutwa kunywa pombe,kutwa kutoka "out",kutwa kutumikishwa kwenye Ngono,kutwa kuvaa nusu uchi,kutwa kujisinapu,kutwa kuiga mitindo ya mavazi ya kihuni,kutwa kuvuta shisha,kutwa kubadili wanaume.
Kila weekend wewe umekuwa wa kubadili Bar,hakuna Bar au kiwanja cha starehe ambacho hapa mjini hukijui.

Yaani umesoma lakini huna Plan yeyote kila siku bora liende,Umezaa mtoto ukaamua umrudishe huko kijijini kwenu ili uje uangaike na mji,umezaa mtoto umeamua kumtupia sista ako wewe ukaona uje mjini uruke ruke!,Umezaa mtoto umemtelekeza kwa shangazi yako ukaona uje mjini upuyange.

Utakuja kushituka umefikisha miaka 40 ndugu yangu na huna mbele wala nyuma kazi yako itakuwa kulaumu watu.

USHAURI

1.Achana na mambo ya kwenye Ma-Bar,siyo ujanja kila kiwanja cha starehe wewe kukifahamu,unapoteza muda wako bure,huo muda ni heri upambane na maisha yako na ujiwekee savings zitakazokuja kukusaidia wewe na mwanao.
2.Muombe Mungu(Fanya Ibada kwa Imani yako)
3.Vaa Vizuri na kwa heshima
4.Jali Afya yako,kama unakunywa pombe kunywa kiasi au acha kabisa,acha kuvuta shisha ni hatari kwa afya yako.
5.Acha Ngono
6.Acha Tamaa
7.Panga chumba/nyumba ambayo unaweza kuzimudu gharama.
8.Usipende Show-off itakuja kukigharimu kwasababu unaigiza maisha.
9.Ishi kwenye uhalisia.
10.Ishi maisha halisi kwasababu 'MAISHA HALISI NI MAISHA RAHISI"
11.Kama Una marafiki ambao hawajielewi kila siku wanataka starehe tu WAPIGE CHINI,kuanza upya si dhambi.
12.Badili Tabia ili uwashangaze wengi.
13.Tafuta shughuli ya kufanya
14.Tunza kidogo kidogo tu pesa twako.
15.Ukipata kikubwa jitahidi utafute kieneo nje ya mji ununue.
16.Anza ujenzi kidogo kidogo kwa kudunduliza,Mungu atakusaidia utaweza kwasababu penye nia pana njia.

Ukiendelea kurukaruka siku ukipata matatizo watu wasipokujali utawaona wabaya tu,mwenye kuyaharibu au kuyatengeneza maisha yako ni wewe mwenyewe.
Hao ndugu uliowaachia mtoto wako nao ushawachosha kwa tabia zako inapaswa ubadirike.

Wewe endelea kusema "Nakula ujana" wakati umri unaenda na huna mbele wala nyuma.
Mbona kama kuna mtu wako wa karibu ndo anafanya haya?
 
Kwani hao wanawake wakiwa mafurushi inakuuma nn?

Kwani hawana ndugu au familia zao?

Ww waache hata wakilala mtaroni it's up to them. Au wakifa kama yule msanii wa kike kisa uvutaji shisha inakuhusu nn?

Wewe cha muhimu hakikisha ndugu zako wa kike wako na tabia njema na wapo vizuri ki maadili kama mwanamke wa ki afrika.

Waliobakia hawakuhusu mkuu na huwezi kutatua matatizo ya kila mwanamke especially ambae hakuhusu. Na haya yote uliyoandika wanayajua ila ndo maisha waliyojichagulia

Na cha muhimu hao wanawake wasio na direction na maisha mbona ndo wana faida maana tunawatumia sana tu kama toilet paper 😋😋.
 
It seems kuna mtu unamfokea , kila mtu ana maisha yake unachikiona wewe ni kizuri haina maana kwa wengine ni kizuri pia, siku ukiacha kufuatlilia maisha ya watu na kudeal na issues zako utatoboa
Mkuu nitoboe mara ngapi?

Tatizo lenu nyie wanawake hampendi kuelezwa ukweli,najua kuna moja hapo limekugusa
 
Kwani hao wanawake wakiwa mafurushi inakuuma nn?

Kwani hawana ndugu au familia zao?

Ww waache hata wakilala mtaroni it's up to them. Au wakifa kama yule msanii wa kike kisa uvutaji shisha inakuhusu nn?

Wewe cha muhimu hakikisha ndugu zako wa kike wako na tabia njema na wapo vizuri ki maadili kama mwanamke wa ki afrika.

Waliobakia hawakuhusu mkuu na huwezi kutatua matatizo ya kila mwanamke especially ambae hakuhusu. Na haya yote uliyoandika wanayajua ila ndo maisha waliyojichagulia

Na cha muhimu hao wanawake wasio na direction na maisha mbona ndo wana faida maana tunawatumia sana tu kama toilet paper 😋😋.
Tunashauri ili kupata Jamii bora isiyokuwa tegemezi,pia wakizaa watoto hovyo na wakiwatelekeza watakuja kusumbua jamii
 
Ukihitaji salamu nenda uswahilini, kwangu utaula wa Chuya!

Sikutishi Sikupangii lakini huu ndiyo uhalisia wenyewe, ipo siku utalia na kusaga meno.

Yaani binti mzima mwenye umri kuanzia 18 - 30, hufanyi shughuli yeyote na huwezi kuzitumia nguvu zako kwenye uwekezaji wa maisha yako na mwanao, wewe kutwa kwenye Night club, kutwa kunywa pombe, kutwa kutoka "out", kutwa kutumikishwa kwenye ngono, kutwa kuvaa nusu uchi, kutwa kujisinapu, kutwa kuiga mitindo ya mavazi ya kihuni, kutwa kuvuta shisha, kutwa kubadili wanaume.

Kila weekend wewe umekuwa wa kubadili bar, hakuna Bar au kiwanja cha starehe ambacho hapa mjini hukijui!

Yaani umesoma lakini huna plan yeyote kila siku bora liende, umezaa mtoto ukaamua umrudishe huko kijijini kwenu ili uje uangaike na mji, umezaa mtoto umeamua kumtupia sista wako wewe ukaona uje mjini uruke ruke, umezaa mtoto umemtelekeza kwa shangazi yako ukaona uje mjini upuyange.

Utakuja kushituka umefikisha miaka 40 ndugu yangu na huna mbele wala nyuma kazi yako itakuwa kulaumu watu.

USHAURI

1. Achana na mambo ya kwenye bar, siyo ujanja kila kiwanja cha starehe wewe kukifahamu, unapoteza muda wako bure, huo muda ni heri upambane na maisha yako na ujiwekee savings zitakazokuja kukusaidia wewe na mwanao.

2. Muombe Mungu (fanya Ibada kwa imani yako).

3. Vaa vizuri na kwa heshima.

4. Jali Afya yako, kama unakunywa pombe kunywa kiasi au acha kabisa, acha kuvuta shisha ni hatari kwa afya yako.

5. Acha ngono.

6. Acha Tamaa.

7. Panga chumba/nyumba ambayo unaweza kuzimudu gharama.

8. Usipende Show-off itakuja kukigharimu kwasababu unaigiza maisha.

9. Ishi kwenye uhalisia.

10. Ishi maisha halisi kwasababu 'MAISHA HALISI NI MAISHA RAHISI".

11. Kama una marafiki ambao hawajielewi kila siku wanataka starehe tu WAPIGE CHINI, kuanza upya si dhambi.

12. Badili tabia ili uwashangaze wengi.

13. Tafuta shughuli ya kufanya.

14. Tunza kidogo kidogo tu pesa twako.

15. Ukipata kikubwa jitahidi utafute kieneo nje ya mji ununue.

16. Anza ujenzi kidogo kidogo kwa kudunduliza,Mungu atakusaidia utaweza kwasababu penye nia pana njia.

Ukiendelea kurukaruka siku ukipata matatizo watu wasipokujali utawaona wabaya tu, mwenye kuyaharibu au kuyatengeneza maisha yako ni wewe mwenyewe.

Hao ndugu uliowaachia mtoto wako nao ushawachosha kwa tabia zako inapaswa ubadirike. Wewe endelea kusema "Nakula ujana" wakati umri unaenda na huna mbele wala nyuma.

Siku ukifa mwanao utamuacha kwenye mazingira gani? Je, unawaamini ndugu zako au mwanao nae aje arukeruke kama wewe? Muda wa kutengeneza maisha yako ni sasa, achana na anasa, hazitokupeleka popote zaidi ya kukuharibia fyucha!
Wewe utakuwa umechacha tuachie sisi wa Masaki tuwafadhili maana tunatumia pesa zituzoee.
 
Back
Top Bottom