Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

Aah unakera eti unajisifia kiaina una mke na mchepuko aiseee
Hapana sio mchepuko in such ila hapo ame-balance mila za kizungu na kiafrika. Wazungu wanaoa kanisani kwa cheti. Afrika tunakuwa na wake wengi. So amejitahidi
 
nyie wanaume bhana hata mfanyiwe nini hamriziki, sms kitu gani, mimi nilikuwa nampelekea mume wangu chakula kabisa ofisini kwake, nanunua chakula, matunda, maji, juisi/soda. naweka lunch box nzuri tu nampa dereva tax anampelekea hadi ofisini kwake kwa gharama zangu na nimefanya hivi for more than 12 years(japo si kila siku )..lakini hakuwa mwenye shukurani na alikuwa na michepuko huko nje na watoto kazaa kabisa na michepuko yake..sasa hapo utasemaje kakangu?
fuska fuska tu
 
Kumshtua mzee akale ni moja ya majukumu ya nyumbani. Majukumu hayajabadilika, sema tu mazingira ndio yame-change sana. Siotena kusonga ugali, umpelekee mzee shambani umbali wa kilomita mbili. Sasahivi ni kunyanyua simu tu. Hata hilo linawashinda!!!!
Hivi we mpaka njaa inakuma huwezi kukumbuka kwenda kula
 
Ilikuwa ni research ndogo. Nipo kazini mida ya saa tano. Nachukua simu yangu ya kiganjani naandika ujumbe...'Hi baby, niko busy sana, naomba saa saba unishtue niende lunch. Mis u already'. Baada ya kuandika hivyo, natuma ujumbe huu kwenda kwenye number mbili. Moja ya wife, ya pili ni mchepuko. Guess what!!!!! Saa saba on dot, simu inaita. Kuangalia ni mchepuko. Nikapokea nikaambiwa nikale. Naenda kula huku attention yote ikiwa kwenye simu, nijue my wife wangu kachelewa kwa dakika ngapi. Nimekula, nimemaliza, nimerudi ofisini naanza kazi, still attention ipo kwenye simu. Saa nane na nusu inainggia msg.....'umeshakula?'. Wakezetu badilikeni jamani.
njoo huku usutwe usikimbie .
 
Wanaume cc n wachache sana
Wanaojua thaman ya wife
Anae kujali,,na mara nyingi
Kinachotuponza n kuendekeza
Michepuko isio na maana

Kama alishindwa kuona hyo
Thaman yako yote ya kumjali
12 years plus kumpelekea
Msos kwa office aiseee!!

Huyo alikua ameshakubuhu??

na hii ilifanya baadhi ya wafanyakazi wenzie wanitongoze mana nao walikuwa wanatamani wangekuwa na wake wa staili hii(waliona namcare sanaaa)..na hapo kila mwezi nilikuwa natenga pesa kidogo km elf 50 namnunulia chochote kama shati, au viatu, underwear, etc. ilimradi kila mwezi nilikuwa namnunulia kajizawadi kutoka katika salary yangu...

lakini huyo mume mwenyewe hakuwahi kuona thamani yangu..naamini ipo siku atanikumbuka tu
 
Ilikuwa ni research ndogo. Nipo kazini mida ya saa tano. Nachukua simu yangu ya kiganjani naandika ujumbe...'Hi baby, niko busy sana, naomba saa saba unishtue niende lunch. Mis u already'. Baada ya kuandika hivyo, natuma ujumbe huu kwenda kwenye number mbili. Moja ya wife, ya pili ni mchepuko. Guess what!!!!! Saa saba on dot, simu inaita. Kuangalia ni mchepuko. Nikapokea nikaambiwa nikale. Naenda kula huku attention yote ikiwa kwenye simu, nijue my wife wangu kachelewa kwa dakika ngapi. Nimekula, nimemaliza, nimerudi ofisini naanza kazi, still attention ipo kwenye simu. Saa nane na nusu inainggia msg.....'umeshakula?'. Wakezetu badilikeni jamani.
Simtetei mkeo ila naomba uelewe kua yule ni mke na huyo ni mchepuko,mke ana majukumu mengine mchepuko ana tafuta sehemu aegeme hasa kipindi kigumu kama hiki ivi majukumu ya mkeo ni sawa na ya mchepuko? au ni mara ngapi umesema nikumbushe kitu flani cha msingi aka ignore? ukitaka akumbuke mara nyengine mwambie ivi Mke wangu rafiki yangu mlezi wa pendo langu furaha ya moyo wangu sijafanya makosa kukuchagua uwe mke wangu penzi lako hanilishi hamu,naomba ukikumbuka mchana nipigie nikale waridi la moyo wangu ili nisikie raha nikila,uone kama hato kupigia,kwanza na wewe hata lunch upigiwe uambiwe kale unapenda kudeka na kudekeza huwezi...
 
hapana tulishaachana, yaani nilimshindwa..nilifanya kila njia ya kumuonyesha mapenzi ya dhati lkn hakubadilika..nikaona basi ngoja niwaachie wengine labda wamenizidi maujuzi..
Sasa unaonaje uje kwangu ninaejali hisia zako?
 
Ilikuwa ni research ndogo. Nipo kazini mida ya saa tano. Nachukua simu yangu ya kiganjani naandika ujumbe...'Hi baby, niko busy sana, naomba saa saba unishtue niende lunch. Mis u already'. Baada ya kuandika hivyo, natuma ujumbe huu kwenda kwenye number mbili. Moja ya wife, ya pili ni mchepuko. Guess what!!!!! Saa saba on dot, simu inaita. Kuangalia ni mchepuko. Nikapokea nikaambiwa nikale. Naenda kula huku attention yote ikiwa kwenye simu, nijue my wife wangu kachelewa kwa dakika ngapi. Nimekula, nimemaliza, nimerudi ofisini naanza kazi, still attention ipo kwenye simu. Saa nane na nusu inainggia msg.....'umeshakula?'. Wakezetu badilikeni jamani.
Mkuu limefika kwa Mkeo nita forward ujumbe umfikie
Mmalizane kimya kimya
 
Majibu ya walioolewa na wanaosaga lami utayajua tu. Walioolewa wako +ve na wana adjust kimya kimya. Then wananishukuru kwa kujitoa muhanga, kuingia field na kuleta mrejesho. Research nyingine ni risk in every sense ila wasaga lami hamuelewi tu.
 
na hii ilifanya baadhi ya wafanyakazi wenzie wanitongoze mana nao walikuwa wanatamani wangekuwa na wake wa staili hii(waliona namcare sanaaa)..na hapo kila mwezi nilikuwa natenga pesa kidogo km elf 50 namnunulia chochote kama shati, au viatu, underwear, etc. ilimradi kila mwezi nilikuwa namnunulia kajizawadi kutoka katika salary yangu...

lakini huyo mume mwenyewe hakuwahi kuona thamani yangu..naamini ipo siku atanikumbuka tu
Dhuuu!!! Pole madam

Kuna huwa wanabahatka
Na kudharau hyo bahat

Kukukumbuka n lazma
Tena atakuja kulia machoz
Ya dam ile wakay atakumbuka
Shuka kumekucha

Wanaume n wachacge sana
Tunaojua thaman ya wake zetu
 
Back
Top Bottom