Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

nyie wanaume bhana hata mfanyiwe nini hamriziki, sms kitu gani, mimi nilikuwa nampelekea mume wangu chakula kabisa ofisini kwake, nanunua chakula, matunda, maji, juisi/soda. naweka lunch box nzuri tu nampa dereva tax anampelekea hadi ofisini kwake kwa gharama zangu na nimefanya hivi for more than 12 years(japo si kila siku )..lakini hakuwa mwenye shukurani na alikuwa na michepuko huko nje na watoto kazaa kabisa na michepuko yake..sasa hapo utasemaje kakangu?
 
Umeamua tu kumponda mkeo sio bure kuna vingapi vya maana anakufanyia hilo moja tu tena hata halina umuhimu unaona kakosea.

Vipo vya kumwambia mke abadilike na sio hiki aisee
Aisee!!! Bora umwambie
Maana anaonekana n kama
Ameshaanza kumchoka

kumfanansha wife na mchepuko
N kumvunjia heshima mke
Anaekutimizia yote ya ndan
 
nyie wanaume bhana hata mfanyiwe nini hamriziki, sms kitu gani, mimi nilikuwa nampelekea mume wangu chakula kabisa ofisini kwake, nanunua chakula, matunda, maji, juisi/soda. naweka lunch box nzuri tu nampa dereva tax anampelekea hadi ofisini kwake kwa gharama zangu na nimefanya hivi for more than 12 years(japo si kila siku )..lakini hakuwa mwenye shukurani na alikuwa na michepuko huko nje na watoto kazaa kabisa na michepuko yake..sasa hapo utasemaje kakangu?
Kwa sasa bado uko nae?
 
Kwa sasa bado uko nae?

hapana tulishaachana, yaani nilimshindwa..nilifanya kila njia ya kumuonyesha mapenzi ya dhati lkn hakubadilika..nikaona basi ngoja niwaachie wengine labda wamenizidi maujuzi..
 
'Nilijua wewe ni binti,kumbe uko vizuri kichwani'

Mkuu msaada wa kauli yako hapo juu
Nilimaanisha kua "Mwanzo nilijua kua wewe bado ni msichana mdogo ambae hawezi kua na fikra za kiutu uzima/za hekma" hapo umenielewa sasa?
 
Hivi hata wewe unaweza kumwambia mkeo muda fulani nataka kula nikumbushe hata haiji kwa kweli
sion kama inaingiaa akilin
Maana tumbo lako unalo
Mwenyw na ww ndo unaskia njaa
Co yy yy ataiskia kwa tumbo lake

Nachojua n ikifka masaa ya lunch
Ndo wote mnafaa kukarbishana
Au kukumbushana ukiwa
Unaenda kula

Wife/husband time ya lunch
well come
 
hapana tulishaachana, yaani nilimshindwa..nilifanya kila njia ya kumuonyesha mapenzi ya dhati lkn hakubadilika..nikaona basi ngoja niwaachie wengine labda wamenizidi maujuzi..
Wanaume cc n wachache sana
Wanaojua thaman ya wife
Anae kujali,,na mara nyingi
Kinachotuponza n kuendekeza
Michepuko isio na maana

Kama alishindwa kuona hyo
Thaman yako yote ya kumjali
12 years plus kumpelekea
Msos kwa office aiseee!!

Huyo alikua ameshakubuhu??
 
Aisee!!! Bora umwambie
Maana anaonekana n kama
Ameshaanza kumchoka

kumfanansha wife na mchepuko
N kumvunjia heshima mke
Anaekutimizia yote ya ndan
Mkuu sasa hapo katika kutimiziwa yote ndio mdau anatakiwa afunguke, usimhukumu kabla haujajua chanzo cha tatizo, kwani hii hoja ya kukumbushwa chakula itakosa mashiko iwapo tu kwamba mambo mengine mkewe yupo vizuri.
Mfano;

1. ni msikivu/mtiifu

2. Hana kiburi

3. Anamjali

4. Ana kauli nzuri

5. Anampa mzee mambo bila ratiba na
KUJITUMA.

6.Ana mantain mwili wake na usafi
kama ulivyokuwa pindi hawaja funga
ndoa.

7. Anaongea na mumewe na kuomba
kufahamishwa kwa upole na
unyenyekevu pasipo kutoa shutuma
pindi kuna jambo limeenda vibaya.

8. Maneno Samahani,Asante na
Nakupenda ajue kuyatumia vyema.
 
surely sema n vle hakutaka
Kufunguka lakin kama
Mke anatimiza hvo vigezo
Vyote hapo na bdo jamaa
Haon af ndo anataka
Kumhukumu wife kwa sababu
Tu ya hyo sms bhas

Kwa pilato kunamhusu jamaa
 
surely sema n vle hakutaka
Kufunguka lakin kama
Mke anatimiza hvo vigezo
Vyote hapo na bdo jamaa
Haon af ndo anataka
Kumhukumu wife kwa sababu
Tu ya hyo sms bhas

Kwa pilato kunamhusu jamaa
Arudi hapaba atueleze ukweli, kama mkewe hana mapungufu mengine ambayo hayavumiliki, mdau atuambie tu kuwa yeye ni polygamist na ni maisha aliyochagua kwa hiyari.
 
Mkuu pole sana aisee....ndio wake zetu hawa inabidi tuishi nao kwa akili sana halafu muda mwingine wanapelekea tuwe na 'mpango wa kando' bila kupenda yaani
Acheni usenge mke umemuacha nyumbani afue a pike apige deki,apeleke na kuchukua watoto shule bado na mambo yake binafsi huo Muda wa kukushtua anakumbukaje?
Mchepuko mtoto wa chuo Muda wote anachat kwenye simu atashindwa kukushtua?!
Hivi wanaume Wengine kwa nini mnapenda sana kutafuta sababu zakuhalalisha michepuko?!!
 
Arudi hapaba atueleze ukweli, kama mkewe hana mapungufu mengine ambayo hayavumiliki, mdau atuambie tu kuwa yeye ni polygamist na ni maisha aliyochagua kwa hiyari.
ngoja tuone kamw atarud
 
Back
Top Bottom