Kuna tafiti nyingine siyo za maabara. Unabidi uvae gwanda uingie field. Nilikuwa kwenye research mkuu. By the way, uko mkoa gani?Aah unakera eti unajisifia kiaina una mke na mchepuko aiseee
Kumshtua mzee akale ni moja ya majukumu ya nyumbani. Majukumu hayajabadilika, sema tu mazingira ndio yame-change sana. Siotena kusonga ugali, umpelekee mzee shambani umbali wa kilomita mbili. Sasahivi ni kunyanyua simu tu. Hata hilo linawashinda!!!!Mchepuko unapalilia hela ya kukuchuna maana ukiumwa vidonda vya tumbo atakosa huduma mke anakuwa bize na majukumu ya nyumbani
Majibu ya walioolewa na wanaosaga lami utayajua tu. Walioolewa wako +ve na wana adjust kimya kimya. Then wananishukuru kwa kujitoa muhanga, kuingia field na kuleta mrejesho. Research nyingine ni risk in every sense ila wasaga lami hamuelewi tu.Badilika kwanza wewe mwenye mchepuko
Uko proud mwenyewe eti SMS kwa wife na mchepuko
Shame on you
Yawezekana ni kweli. Lakini nilifanya hivyo almost a week, na siku zote hizo matokeo ni more or less the same. Siku nyingine ni mpaka narudi home.Yawezekana hata yeye alikua busy na text kachelewa kuiona, sometimes mtu unakosa hadi muda Wa kushika sim, lawama c nzuri
Mkuu ukifanya tuletee mrejesho basi. Nia ni kujua tatizo ni nini na kujenga. Ila fanya at your own risk, ni hatari.Aiseeee, na mie nitajaribu hiyo
Eve..........week nzima!!!!!!!. Nilifanya hivyo almost a week, na average ilikuwa ni hiyo. Kuna mdau kasema mkiwekwa ndani hamjisumbui tena. Kimsingi ni kweli, hasa baada ya kuzaa attention yote huamia kwa watoto. Mzee atapata mabaki. But we can fix this.Usikute nae alitolewa out na mchepuko wake
Haya mambo haya, we unangoja msg wife anavunja vunja mifupa ya mtetea kwenye sahani, angetumaje msg?
Jiongeze asee
Ilikuwa ni research kujaribu kuona kwanini wababa wanaegemea mpango wa kando na mwisho familia kusambaratika. Kuna tatizo.Khaa nimecheka we kiboko kwani mchepuko wko hajakutosha kukukumbusha
Aii kisa kukumbushwa lunch hiyo kusambaratisha utakua umeamua kufanya ivyo mkuuIlikuwa ni research kujaribu kuona kwanini wababa wanaegemea mpango wa kando na mwisho familia kusambaratika. Kuna tatizo.
Jamani nisaidieni kumuelewesha.Aii kisa kukumbushwa lunch hiyo kusambaratisha utakua umeamua kufanya ivyo mkuu
chepuko ni wasafi huko chini wacha,,kwanza unakuta uch unabana,,anajua kukatika na anabembeleza mboo hadi unashangaa,,mtu anakuganda unapiga mpaka bao tano,,,sasa hiyo huko nyumbani likilala linajitanua tuu eti humalizi tuu,,,,,,,,,,,,,,,,,khaaaaaaaaaBadilika kwanza wewe mwenye mchepuko
Uko proud mwenyewe eti SMS kwa wife na mchepuko
Shame on you
Mkuu....umeoa au unasherehesha tu!!!!?. Okey, tunafanyaje sasa kuwasaidia wajirekebishe?kuna mi
chepuko ni wasafi huko chini wacha,,kwanza unakuta uch unabana,,anajua kukatika na anabembeleza **** hadi unashangaa,,mtu anakuganda unapiga mpaka bao tano,,,sasa hiyo huko nyumbani likilala linajitanua tuu eti humalizi tuu,,,,,,,,,,,,,,,,,khaaaaaaaaa
Mkeo si ana uhakika wewe ni wake tu ndo mana muda mwingi ni don care but mchepuko anachukulia kama fursa.Ilikuwa ni research ndogo. Nipo kazini mida ya saa tano. Nachukua simu yangu ya kiganjani naandika ujumbe...'Hi baby, niko busy sana, naomba saa saba unishtue niende lunch. Mis u already'. Baada ya kuandika hivyo, natuma ujumbe huu kwenda kwenye number mbili. Moja ya wife, ya pili ni mchepuko. Guess what!!!!! Saa saba on dot, simu inaita. Kuangalia ni mchepuko. Nikapokea nikaambiwa nikale. Naenda kula huku attention yote ikiwa kwenye simu, nijue my wife wangu kachelewa kwa dakika ngapi. Nimekula, nimemaliza, nimerudi ofisini naanza kazi, still attention ipo kwenye simu. Saa nane na nusu inainggia msg.....'umeshakula?'. Wakezetu badilikeni jamani.
Hahahaaa!Ukimchunguza sana bata
Hutamla utamuonea
Kichef chefu