Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

Na wewe pia badilika. Mkeo keshajua kuwa unamchepuko pia inaonesha kuwa huna utamaduni wa kumtext kama ulivofanya. Alijua kuwa text yako inaenda kwa mchepuko.Baki njia kuu
 
Eve..........week nzima!!!!!!!. Nilifanya hivyo almost a week, na average ilikuwa ni hiyo. Kuna mdau kasema mkiwekwa ndani hamjisumbui tena. Kimsingi ni kweli, hasa baada ya kuzaa attention yote huamia kwa watoto. Mzee atapata mabaki. But we can fix this.
We unafanya vile vile namaanisha treatment zako kabla hujamuweka ndani na sasa zipo sawa?
 
Ilikuwa ni research kujaribu kuona kwanini wababa wanaegemea mpango wa kando na mwisho familia kusambaratika. Kuna tatizo.
Mkuu vipo vya kufanyia research ambapo labda ungelinganisha mkeo na mchepuko nani anakuomba pesa mara kwa mara na pia kwenye uvumilivu mkeo na mchepuko nani ana uwezo wa kukuvumilia kwa hali yeyote ile iwe shida au raha hapo ndio angalau ungepata picha ya nani anatakiwa kubadilika na hayo ni baadhi tu.

Ila hilo la kukumbusha kula halina uzito aisee na wala usimlaumu.
 
Hatubadiliki wala nini maana tunaamini kama ni njaa ikikuzidia lazima ule sasa ya nini kuchoshana?Yani njiwa wangu mwenyewe kwanini manati ili hali utarudi bandani usiku???
 
Your wife was right, kumbuka yule ni mkeo sio time keeper wako! Halafu kwanini iwe nongwa???!!! Yaani umekaa unachungulia simu kila dakika ili upate hoja ya kuhitimisha kwamba mkeo hafai??!! Wewe ukiombwa ufanye hivyo na mkeo utaweza?, Hivi mnawachukuliaje wanawake??!! Huna hata aibu unamlinganisha mkeo na mchepuko tena kwa kutamba!! Badilika wewe kwanza.
 
We unafanya vile vile namaanisha treatment zako kabla hujamuweka ndani na sasa zipo sawa?

Mkuu vipo vya kufanyia research ambapo labda ungelinganisha mkeo na mchepuko nani anakuomba pesa mara kwa mara na pia kwenye uvumilivu mkeo na mchepuko nani ana uwezo wa kukuvumilia kwa hali yeyote ile iwe shida au raha hapo ndio angalau ungepata picha ya nani anatakiwa kubadilika na hayo ni baadhi tu.

Ila hilo la kukumbusha kula halina uzito aisee na wala usimlaumu.
Guys......you are missing a point. Man and Woman wako tofauti. Si swala la yupi bora na yupi dhaifu, hapana. They are just different. Mpaka pale tutakapozielewa hizi tofauti ndipo tutawaeza kupata suluhu za mahusiano mabovu kati ya ke na me. Kwa mujibu wa maelezo yenu, naona hamuelewi kabisa swala la utofauti huo. Mnakasha wa mahusiano ni mrefu na ni mtambuka. Itoshe kusema wanaume wameumbiwa varieties. Wanawake wameumbwa kuwa variety. Ukiipuuza hiyo natural fact, wewe kilasiku uko na dera lako moja na hilo wigi..........unanisababishia matatizo mimi.
 
Your wife was right, kumbuka yule ni mkeo sio time keeper wako! Halafu kwanini iwe nongwa???!!! Yaani umekaa unachungulia simu kila dakika ili upate hoja ya kuhitimisha kwamba mkeo hafai??!! Wewe ukiombwa ufanye hivyo na mkeo utaweza?, Hivi mnawachukuliaje wanawake??!! Huna hata aibu unamlinganisha mkeo na mchepuko tena kwa kutamba!! Badilika wewe kwanza.
Nime-like comment yako japo naendelea kusikitika wengi hawajanielewa. Hebu tuweke emotions pembeni kwanza.
 
Muda mwingine huwa tunahisia zetu tuu huyu tyr kakumbushwa so usilaimu sana
Nimeipenda hii yako. Iko very constructive and i guess you are as humble as your comment. Lakini huwa unamuelezea hilo?
 
Endelea na uzinzi wako! Msg mbili za nini kwa mume mwenye mapenzi na mkewe??? Alikupotezea maana wee ndio umeanza kuvunja agano!!!
 
Polepole mama. Hili swala si la kujadili na emotions.............vuta pumzi ndani kwanguvu...........achia............. Rudia tena.....
Okey, rudi page ya pili ya huu uzi halafu usome reply zangu, hasa comment number 30.
 
Guys......you are missing a point. Man and Woman wako tofauti. Si swala la yupi bora na yupi dhaifu, hapana. They are just different. Mpaka pale tutakapozielewa hizi tofauti ndipo tutawaeza kupata suluhu za mahusiano mabovu kati ya ke na me. Kwa mujibu wa maelezo yenu, naona hamuelewi kabisa swala la utofauti huo. Mnakasha wa mahusiano ni mrefu na ni mtambuka. Itoshe kusema wanaume wameumbiwa varieties. Wanawake wameumbwa kuwa variety. Ukiipuuza hiyo natural fact, wewe kilasiku uko na dera lako moja na hilo wigi..........unanisababishia matatizo mimi.
"it takes two, to make a relationship work "

Wewe umebadilika na una mchepuko Juu unataka mkeo awe vile vilee, na tayari ana mtoto means kuna mtu mwingine nae anahitaji attention ya mkeo ila we unachotaka tu ukumbushwe kula..
Kuwa mke wa Mwanaume wa kiafrika jamani unahitaji uwe na moyo mpana
 
Sijawahi kutetea uovu!! Unatafuta kisingizio cha kuhalalisha mchepuko!!!! Endelea kuchunwa kwa kwa kisingizio cha kukumbushwa saa ya kula . Wewe uliwahi kumkumbusha mkeo saa ya kula? Je, huyo mkeo hana kazi nyingine anayoifanya zaidi ya kukufikiria wewe?
 
Binadamu bwana, uache kubadilika wewe mwenye mchepuko ukazanie abadilike wife asokukumbusha kwenda kula. Kwel wonders never end
 
"it takes two, to make a relationship work "

Wewe umebadilika na una mchepuko Juu unataka mkeo awe vile vilee, na tayari ana mtoto means kuna mtu mwingine nae anahitaji attention ya mkeo ila we unachotaka tu ukumbushwe kula..
Kuwa mke wa Mwanaume wa kiafrika jamani unahitaji uwe na moyo mpana
Sijui hatakama umesoma nilivyojibu. Nasikitika.
 
Huu uzi natabiri kuwa utaanzisha NGO ya michepuko inaitwa Michepuko empowerment Organisation,au watakuja matiti yamewasimama kama wamedundwa ngumi za mgongo kutetea haki yao
 
Najaribu kuwaelewesha lakini sieleweki. Ni kama vile nimenyosha kidole kukuonyesha mbele kuna lile shimo. Lakini wewe umekomaa na kujadili usafi wa kidole changu. Watu wenye akili hawapendi kuzaliana. Tamati.
 
Back
Top Bottom