Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

Yani mtoa uzi huna adabu kabsa, unawezaje kumlinganisha mchepuko a mkeo, ungekuwa karibu ningekutia kibao. Inawezekana mkeo alikuwa busy na ishu za familia au kazini na Hyo mchepuko anafanya utakavyo ili apate anachokitaka either pesa au outing za hapa na pale na mambo kama hayo cause anajua ww umeoa na hana future yoyote na ww. Trust me anafanya utakavyo kukuplease. Ila kinachotoka kwa mkeo ni kutoka moyoni.
Hebu siku nyingine husilete uzi kama huu.
 
Dhuuu!!! Pole madam

Kuna huwa wanabahatka
Na kudharau hyo bahat

Kukukumbuka n lazma
Tena atakuja kulia machoz
Ya dam ile wakay atakumbuka
Shuka kumekucha

Wanaume n wachacge sana
Tunaojua thaman ya wake zetu

usijali kakangu nshapoa siku nyingi sasa ivi ni history tu
 
Anakujua tabia zako ndo maana anakupotezea,inakuwaje umtumie yy na mchepuko unafikiri mungu hakuona!!!
 
Huenda mkeo kashakustukia... So anaona haina haja

Ujue kuna tofauti ya kujua mimi niko mwenyewe kwako na nina wajibika kwako kwa mengi...

Ila nikigundua kuna mwingine pembeni unamfuga anisaidie hayo majukumu stim inakata
 
Ilikuwa ni research ndogo. Nipo kazini mida ya saa tano. Nachukua simu yangu ya kiganjani naandika ujumbe...'Hi baby, niko busy sana, naomba saa saba unishtue niende lunch. Mis u already'. Baada ya kuandika hivyo, natuma ujumbe huu kwenda kwenye number mbili. Moja ya wife, ya pili ni mchepuko. Guess what!!!!! Saa saba on dot, simu inaita. Kuangalia ni mchepuko. Nikapokea nikaambiwa nikale. Naenda kula huku attention yote ikiwa kwenye simu, nijue my wife wangu kachelewa kwa dakika ngapi. Nimekula, nimemaliza, nimerudi ofisini naanza kazi, still attention ipo kwenye simu. Saa nane na nusu inainggia msg.....'umeshakula?'. Wakezetu badilikeni jamani.
Wife Nayeye simu yake ilikua attention Kwa mchepuko wake, saa nane pia huko pia mchepuko wako alimuuliza hus wake "umeshakula cha mchana"?
 
hapana tulishaachana, yaani nilimshindwa..nilifanya kila njia ya kumuonyesha mapenzi ya dhati lkn hakubadilika..nikaona basi ngoja niwaachie wengine labda wamenizidi maujuzi..
Hahahahaaaa!
 
Mbona sababu za huyu mdau kuwa na mchepuko ziko wazi? sidhani kama hata anahitaji kuelezea mengine anayopitia huko nyumbani.
Yaani sijui kwanini watu wanatumia mihemko kwenye hili jambo. Matokeo yake wanakuwa blind kabisa. Point iko wazi kama paja la kahaba, lakini emotions zime- blind kilakitu. Mtu ana-comment mpaka unajiuliza.....huyu kasoma uzi kweli!!!!. Nimeamua kukaa pembeni tu n enjoy comments.
 
Sasa chukua mchepuko weka ndani uone atakuaje? Kama nyinyi kamsemo kenu kwamba hakuna kampeni baada ya kushinda uchaguzi, basi nasisi hakuna haja ya kubembelezana akat ushaniweka ndani upo?
Nyie wote maana ya ndoa... hamuifaham.
 
Back
Top Bottom