Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

Kwa wake tu: Wakezetu badilikeni!

Ndoa.. sio kuolewa na kujali watoto tu. ukiolewa si kwamba ndio mahaba yameisha hapo... msipo peana mahaba.. kama mlivyo kuwa kwenye uchumba basi wote mtajikuta mnayatafuta nje. Na ndoa itakuwa yenye migogoro
 
mkuu una unauhakika gani kama mke wako alipata sms yako on spot kama alivopata mchepuko na mitandao inachangia pia.
pili hujamzoeasha hivyo kwaiyo aliona ktu cha ajabu tu na na tatu atakua anafahamu vizuri kuhusu huyo mchepuko
 
Ilikuwa ni research ndogo. Nipo kazini mida ya saa tano. Nachukua simu yangu ya kiganjani naandika ujumbe...'Hi baby, niko busy sana, naomba saa saba unishtue niende lunch. Mis u already'. Baada ya kuandika hivyo, natuma ujumbe huu kwenda kwenye number mbili. Moja ya wife, ya pili ni mchepuko. Guess what!!!!! Saa saba on dot, simu inaita. Kuangalia ni mchepuko. Nikapokea nikaambiwa nikale. Naenda kula huku attention yote ikiwa kwenye simu, nijue my wife wangu kachelewa kwa dakika ngapi. Nimekula, nimemaliza, nimerudi ofisini naanza kazi, still attention ipo kwenye simu. Saa nane na nusu inainggia msg.....'umeshakula?'. Wakezetu badilikeni jamani.
Ukumbuke mchepuko haangalii wagonjwa hata siku moja, mchepuko hatakuliwaza ukikosa pesa, hatakuzalia mtoto zaidi ya mmoja (na huyo ni wa kulinda maslahi yake), mchepuko atahakikisha hako katoto kamoja kanakusumbua hata saa ya kupumzika, mke anakulinda na vurugu za watoto.

Duniani hamna mkamilifu ni wewe mwenyewe uwe na kipaumbele. Kama shida yako kubebishwa sawa lakini kama unataka somebody you can depend on through thick and thin basi utamuenzi mke wako.
 
Yawezekana ni kweli. Lakini nilifanya hivyo almost a week, na siku zote hizo matokeo ni more or less the same. Siku nyingine ni mpaka narudi home.
We ulishawah kumkumbusha kula? Au ndo ww tu unataka kukumbushwa
 
Eve..........week nzima!!!!!!!. Nilifanya hivyo almost a week, na average ilikuwa ni hiyo. Kuna mdau kasema mkiwekwa ndani hamjisumbui tena. Kimsingi ni kweli, hasa baada ya kuzaa attention yote huamia kwa watoto. Mzee atapata mabaki. But we can fix this.
Ukiwe attention kwake utamfanya naye awe care kwako
 
Sasa chukua mchepuko weka ndani uone atakuaje? Kama nyinyi kamsemo kenu kwamba hakuna kampeni baada ya kushinda uchaguzi, basi nasisi hakuna haja ya kubembelezana akat ushaniweka ndani upo?
hajajua kuwa mchepuko bado haujajihakikishia ushindi lazima ukomae.
 
Wife nae busy na mchepuko wake. Hata mimi nisingekukumbusha. Wa kubadilika hapo ni wewe. La sivyo ndoa utaiona chungu siku zote na michepuko haitaisha kamwe!
 
Back
Top Bottom