Mchepuko Umeniponza

YE67NBE

JF-Expert Member
Nov 30, 2015
15,174
36,226
KUMEKUCHA KUMEKUCHA

MJE MTOE USHAURI

Jamani naombeni ushahuri hapa nipo nimevurugwa ata sijui nachomokaje kwenye hili!

Iko hivi mimi nimeolewa na tuko fresh tu na mume ananipenda na ananitimizia mahitaji yote, kwa bed anapeleka moto mpk nakiona kilichomtoa kanga manyoya maana nafika vilele vyote kibo na mawenzi nakojoa mpaka naishiwa mkojo nakojoa upepo fyuuuuu

Sasa sijui shetani gani kanipitia nikatamani kuchepuka, si nikapata bwana nae mtamu balaa km mume wangu akanichanganya kijana yule penzi likawa motroo
Sasa kwenye simu nikamsevu cheps nikikatisha mchepuko

Tatizo linakuja toka saa 4 asubuhi nampigia simu hapokei anakata nikajua atakuwa ofisini! Nikamtafuta tena hapokei anakata! Ikabidi nimtumie msg vipi msweetie utakuwa na nafasi unitoe upwiruu nimemiss kweli show yako! Hapo milipanga nitoroke job! Nayo iyo sms hajajibu. Nikaendelea kutuma lakini sijibiwi ikabidi nirudi home sababu na mimi muda wa kazi umeisha

Nimerudi nyumbani nikiwa sina raha mpenzi wangu atakuwa na shida gani mbona sio kawaida yake na wivu ukanishika, nikajua kuna mtu mwingine anafaidi. My huzbnd akaniuliza vipi mke wangu mbona umekuwa mnyonge? Nikamwambia sijisikii vizuri kichwa chaniuma. Akasema kunywa panadol! Basi nikaelekea jikoni kupika mume wangu yupo sitting room anaangalia mpira

Mara simu yangu ikawa inaita kuangalia mchepuko wangu niliruka kwa furaha km nimeshinda bahati nasibu
Nikakimbilia nje chap nikapokea simu kwa kumbusu mwah! mwah! Jamani bae mbona kunifanyia hivyo mwana wa mwenzio raha sina nakupigia simu hupokei msg nazo hujib nini tatizo tamu yangu?

Nilichojibiwa nyie acheni msiombe kukutwa na bwana Pepsi!! Si nikasikia sauti ya mume wangu inaniambia, ebu acha umalaya njoo uniwekee chakula njaa inaniuma, nilichokaa

Nikaangalia simu kumbe jina linasoma cheps namba ya mume wangu means alifuta namba ya mchepuko akasevu ya kwake lakin jina likabaki la mchepuko
Hapa nawaza niende ndani au niondokee iyo iyo nisaidieni jamani

Wenye sonona plz msinizidishie sonona naombeni mnifariji na kunijibu kwa upole na upendo.

NB; Sio mimi ni mtu wangu wa karibu anaomba ushahuri kaomba nimletee
 
KUMEKUCHA KUMEKUCHA

MJE MTOE USHAHULI

Jamani naombeni ushahuli hapa nipo nimevurugwa ata sijui nachomokaje kwenye hili!

Wao Hakika nilicho jifunza leo Sitakuja kukisahau maisha😂 Very smart, Hatukupigi ila bora ungepigwa yaishe.
anyway nenda kaanze kujiliza tu
 
Ilisha nitokeaga pisi moja ivi kanisani ilikiwa inaimba kwaya mm najifunza keyboard, sasa nikachukua namba yake tukawa tunachati kiaina baada ya week kama mbili siku iyo natafuta namba yake si ioni maana alikuwa anashika simu yangu akitaka(smart yy ana kitochi 2015 iyo), kumbe alifuta jina nilo msave mm yeye akajisave Utamu wangu😂, niligundua hilo baada ya kwenda mazoezini nikamuuliza kwa hiyo umeamua kufuta namba yako sio akajibu sijafuta ipo tu we itafute Nikajuta iyo Utamu wangu, mtoto alikuwa anaitwa NICE, mi nilikuwa na muita NICEONE😋 Ni wa kigoma asee story yake ni ndefu nimekumbuka lakin niishie hapa.. popote ulipo niceone😘
 
KUMEKUCHA KUMEKUCHA

MJE MTOE USHAHULI

Jamani naombeni ushahuli hapa nipo nimevurugwa ata sijui nachomokaje kwenye hili!

Iko hivi mimi nimeolewa na tuko fresh tu na mume ananipenda na ananitimizia mahitaji yote, kwa bed anapeleka moto mpk nakiona kilichomtoa kanga manyoya maana nafika vilele vyote kibo na mawenzi nakojoa mpaka naishiwa mkojo nakojoa upepo fyuuuuu

Sasa sijui shetani gani kanipitia nikatamani kuchepuka, si nikapata bwana nae mtamu balaa km mume wangu akanichanganya kijana yule penzi likawa motroo
Sasa kwenye simu nikamsevu cheps nikikatisha mchepuko

Tatizo linakuja toka saa 4 asubuhi nampigia simu hapokei anakata nikajua atakuwa ofisini! Nikamtafuta tena hapokei anakata! Ikabidi nimtumie msg vipi msweetie utakuwa na nafasi unitoe upwiruu nimemiss kweli show yako! Hapo milipanga nitoroke job! Nayo iyo sms hajajibu. Nikaendelea kutuma lakini sijibiwi ikabidi nirudi home sababu na mimi muda wa kazi umeisha

Nimerudi nyumbani nikiwa sina raha mpenzi wangu atakuwa na shida gani mbona sio kawaida yake na wivu ukanishika, nikajua kuna mtu mwingine anafaidi. My huzbnd akaniuliza vipi mke wangu mbona umekuwa mnyonge? Nikamwambia sijisikii vizuri kichwa chaniuma. Akasema kunywa panadol! Basi nikaelekea jikoni kupika mume wangu yupo sitting room anaangalia mpira

Mara simu yangu ikawa inaita kuangalia mchepuko wangu niliruka kwa furaha km nimeshinda bahati nasibu
Nikakimbilia nje chap nikapokea simu kwa kumbusu mwah! mwah! Jamani bae mbona kunifanyia hivyo mwana wa mwenzio raha sina nakupigia simu hupokei msg nazo hujib nini tatizo tamu yangu?

Nilichojibiwa nyie acheni msiombe kukutwa na bwana Pepsi!! Si nikasikia sauti ya mume wangu inaniambia, ebu acha umalaya njoo uniwekee chakula njaa inaniuma, nilichokaa

Nikaangalia simu kumbe jina linasoma cheps namba ya mume wangu means alifuta namba ya mchepuko akasevu ya kwake lakin jina likabaki la mchepuko
Hapa nawaza niende ndani au niondokee iyo iyo nisaidieni jamani

Wenye sonona plz msinizidishie sonona naombeni mnifariji na kunijibu kwa upole na upendo.

NB; Sio mimi ni mtu wangu wa karibu anaomba ushahuri kaomba nimletee

IMG_7889.jpg
 
Back
Top Bottom