Kwa wadada wa chuo natoa dozi

Kwa wadada wa chuo natoa dozi

Hivi kwanini huku kwenye jukwaa la mapenzi wengi ni akina dada.....kweli wabongo kazi tunayo majangili wanamaliza tembo ninyi mmejazana huku mnajadili mapenzi badala ya kujadili mambo ya kitaifa, najua ukweli unauma angalieni tu msinitukane...mnakera ndio maana tz ukombozi unachelewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hiyo ni kweli kabisa mshikaji umesema. Wadada wa vyuo siku hizi wanaangalia pesa tu ndugu yangu. Hawajali kabisa, wanamegwa tu na vibabu ili mradi vina pesa. Kuna mdada mmoja anasoma chuo mimi namfahamu kabisa, ni mtoto mdogo ukimuangalia na ni mzuri kweli. Lakini sasa mdingi anayemega hiyo kitu ukimuona mbona utacheka. Ni mzee na ana sura kama Steven Wassira lakini ana pesa mingi ile mbaya. Mdada kapewa na gari ya kutembelea.
 
KWA MADEMU WA VYUO MKINICHUKIA POA TU.

Watu wanaowajua wakiwaona,wanahisi unampenda kweli,maana mahaba unamuonyesha hadharani,unambusu bila hofu...Watu wanajiuliza kwanini msichana mzuri kama wewe uko na jamaa ambae anaonekana AGE GO AGE WENT,hamfanani kiumri wala kiumbo na ki-wajihi..Kumbe una siri moyoni,humpendi kwa moyo ila kwa sababu ana hela,na wewe ni Mwanafunzi mwenye mahitaji,umeamua kujishikiza kama kifungo cha shati hadi umalize shule...

Mwanaume anajua kapata msomi,umetulia,kumbe mwenzangu una ajenda ya siri...Wanawke wana moyo,una miaka 19 unadate na jamaa lina miaka 47,jasho analotoa lina harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 1961 ila upo tu kwa ajili ya PESA....Halafu mashosti zako bila haya wanakwambia, 'Msalimie Shem Handsome' huku chinichini wanakucheka...

Wanafunzi wa Kike wa Vyuo Vikuu,mko juu sana,uko radhi umegwe na jamaa bovuuu kisa hela,hata mkipiga picha Photopoint wana-edit wee poda ya Computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee Microsoft Excel usoni!.

Washabadili kimtindo,wanatafuta wastaafu afu anafunganaye ndoa ya serikali then after few years kamzee kakifa anamiliki mali na penshen ya muzee wa wa2
 
hahahahaha mi nilishasema nitaoa demu alioishia form 4 au 6.sitak wa chuo.sababu wa chuo wanamegwa sana sababu ya tamaa na ukata
 
Hiyo ni kweli kabisa mshikaji umesema. Wadada wa vyuo siku hizi wanaangalia pesa tu ndugu yangu. Hawajali kabisa, wanamegwa tu na vibabu ili mradi vina pesa. Kuna mdada mmoja anasoma chuo mimi namfahamu kabisa, ni mtoto mdogo ukimuangalia na ni mzuri kweli. Lakini sasa mdingi anayemega hiyo kitu ukimuona mbona utacheka. Ni mzee na ana sura kama Steven Wassira lakini ana pesa mingi ile mbaya. Mdada kapewa na gari ya kutembelea.
Bora unisaidie wangu hawa wengine wanajifanya hawayaoni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Washabadili kimtindo,wanatafuta wastaafu afu anafunganaye ndoa ya serikali then after few years kamzee kakifa anamiliki mali na penshen ya muzee wa wa2

Ha ha ha yani ni Umafia mafia tu kwa sababu ya mali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahahaha mi nilishasema nitaoa demu alioishia form 4 au 6.sitak wa chuo.sababu wa chuo wanamegwa sana sababu ya tamaa na ukata
Ha ha kaka form 6 si ndo walewale wa chuo mkuu,tamaa zimewazidi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi kwanini huku kwenye jukwaa la mapenzi wengi ni akina dada.....kweli wabongo kazi tunayo majangili wanamaliza tembo ninyi mmejazana huku mnajadili mapenzi badala ya kujadili mambo ya kitaifa, najua ukweli unauma angalieni tu msinitukane...mnakera ndio maana tz ukombozi unachelewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu hili ni jukwaa special kwa MMU hivo usishangae kuwa na wadada wengi sawa tu na jukwaa la siasa kuwa wanaume wengi ndo fani yetu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naona umri ushakuwa crime kwenye mapenzi ya sasa.
Hivi manual inasemaje kwenye umri? tofauti iweje?

The older the wine, the better the taste.

Isizidi sana(extreme) hadi inakuwa aibu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahhaaaaaaaa!
FP, mbona si wazee tunakazi? Kama mzee mwenzangu kawekewa mpaka microsoft excel usoni ili aonekana kijana kidogo, mi si ndiyo ndawekewa Microsoft power point au microsoft word kabisa?

lakini tukirudi kwenye ukweli baadhi ya wadada wa vyuo siku hizi wamejirahisi mno, na ni kweli wako kipesa kama alivyotanabaisha mdau hapo juu. Nidhamu, utu na heshima zao zimeshuka mno na ndiyo maana baadhi yao wamedirikia hata kuanza kuonekana maeneo fulani fulani wakijiuuza! Hebu fikiria msomi anayetarajiwa kuwa injinia au daktari, au mwanasheria au waziri au mkurugenzi nk leo hii kaanza ukahaba, hivi tutakuwa na taifa lenye viongozi wa aina gani miaka ijayo? Tutakuwa na watu wenye utu kweli au tutakuwa na watu viatu?

Ni kweli kabisa mkuu wangu wala hujadanganya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mhh jamaa kaporwa girlfriend wake!!!
Pole ndugu. Siku hizi hata baba yako usimtambulishe girlfriend wako. Next day utawakuta wanakula bata mahali mahali. Hapo utamchukia daddy wako! CHUNGA sana.

Naona umri ushakuwa crime kwenye mapenzi ya sasa.
Hivi manual inasemaje kwenye umri? tofauti iweje?

The older the wine, the better the taste.

NI mbinu tu za watoto wa kidigitali kipambana na siye wa analogia lol
 
Kuachwa uachwe wewe, madongo urushe humuuu.... Majangaaaa.... Majangaa...... Mbona majanga?
 
Haa ha una hasira!! lazima utakua hendisam halafu huna chachang' wenzio sura za kibandidu wanatafuna tu totoz roho inakuumajee sasa apo

Chezea chachang' wewe
Bwahahahahhh. Haya endeleeni kutupati raha
 
Kuachwa uachwe wewe, madongo urushe humuuu.... Majangaaaa.... Majangaa...... Mbona majanga?

Mkuu so walopigwa chini wote ndo tuandike humu?wewe mwenzangu hujawahi kuyaona haya?au ndo makusudi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mhh jamaa kaporwa girlfriend wake!!!
Pole ndugu. Siku hizi hata baba yako usimtambulishe girlfriend wako. Next day utawakuta wanakula bata mahali mahali. Hapo utamchukia daddy wako! CHUNGA sana.

Kumbe hili suala lipo eh.....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahahaha mi nilishasema nitaoa demu alioishia form 4 au 6.sitak wa chuo.sababu wa chuo wanamegwa sana sababu ya tamaa na ukata

kiongozi 4m 4 ua 4m 6 tena failure,ni majanga kaka,
mana hawajapata expore kwa mapedeshee,
hawajaona pamba na kutongozwa kikubwa,yan wapo blind sana
so ukimweka ndani ndo wajanja wanaanza kukumegea

bora wa chuo aise anafam kila ki2,so hutapata shida ya kufundisha fundisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom