Kwa wadada wa chuo natoa dozi

Kwa wadada wa chuo natoa dozi

well said watu8, haijalishi kwamba mtoa mada kamwagwa au laa!! Hapa anajaribu kuwafunda madenti waache mchezo wao wa kuwadanganya wazee kwamba wanawapenda wala si hivyo, kama ingelikua wanakubali kuolewa nao wala asinge jali, ila wanakula hela zao wakipata shahada zao wanasepa na kuwaacha hao wazee wakiwa icu. Huu uzi pia ni funzo kwa wazee wenzangu above 40, kama mtu anahisi atapendwa na kadenti basi hilo asahau hata kama ana phd or more....

hivi 45 yrs nae ni mzee?
 
kwa mademu wa vyuo mkinichukia poa tu.

Watu wanaowajua wakiwaona,wanahisi unampenda kweli,maana mahaba unamuonyesha hadharani,unambusu bila hofu...watu wanajiuliza kwanini msichana mzuri kama wewe uko na jamaa ambae anaonekana age go age went,hamfanani kiumri wala kiumbo na ki-wajihi..kumbe una siri moyoni,humpendi kwa moyo ila kwa sababu ana hela,na wewe ni mwanafunzi mwenye mahitaji,umeamua kujishikiza kama kifungo cha shati hadi umalize shule...

Mwanaume anajua kapata msomi,umetulia,kumbe mwenzangu una ajenda ya siri...wanawke wana moyo,una miaka 19 unadate na jamaa lina miaka 47,jasho analotoa lina harufu ya sikukuu ya uhuru mwaka 1961 ila upo tu kwa ajili ya pesa....halafu mashosti zako bila haya wanakwambia, 'msalimie shem handsome' huku chinichini wanakucheka...

Wanafunzi wa kike wa vyuo vikuu,mko juu sana,uko radhi umegwe na jamaa bovuuu kisa hela,hata mkipiga picha photopoint wana-edit wee poda ya computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee microsoft excel usoni!.

kwani wewe tatizo lako ni nini?

Ah hizi mada nyingine zimekaa kiumbea sana, hazinifai maana sipendagi umbea.
 
duh.. jamaa ulifikiri utamu umekuja mlangoni! pole kwa masahibu usitoe mimba zaeni tu, utakuja kubariki baadae!
 
kwa hiyo ni kosa la hao wasichana? sio kosa la vibabu kuwashawishi kwa pesa?
kwanini vibabu havitoki na vibibi? why is it only the girl's fault? au unaanza nao tu, later utaleta thread ya kuwablame na vibabu? then later ya kuwablame wamama wenye kutoka na vitoto, then later ya kuwablame vijana wa kiume wanao toka na vimama?
mtoa mada alielemea upande mmoja tu, huenda kuna ujumbe alitaka kuufikisha kwa muhusika!! lakini katika comment zangu za jana nilitoa somo pia kwa vibabu!! actually, ni vigumu kwa videnti kukataa dili, na sidhani kwamba ni wao videnti ndio wanaoanzisha business!! bali ni vibabu. Point yangu kwa hawa videnti ni kwamba wanatakiwa waweke wazi mahusiano yao, wawe open kwamba watakua na hao wazee wakati wa masomo tu, baada ya hapo mkataba unaisha, very simple. bilashaka wako wazee ambao watakubali mkataba huo, kuliko kuwatia tamaa vibabu vya watu na wakati mwengine wanawauliza kwa kebehi "hivi kweli utaniowa au wanichezea tu!!" kibabu kikisikia hivyo ndio kinapagawa na kuanza kuuza hata viwanja vya urithi...hivi hawajui kwamba kila umri ukienda mtu anakua kama mtoto.... naomba nisikuchoshe mwali
 
Kumbe hili suala lipo eh.....


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
lipo sana tu! mbaya zaidi mdingi anamkandia kijana wake kwa binti kuwa kakijana kangu hakana kitu mimi ndo nakahudumia kila kitu! akiwa na wewe anakupa mistari kuwa uachane na girlfriend wako kuwa hafai hata kuwa mke...eti ana tabia chafu! kumbe kikulacho....
 
Mkuu hili ni jukwaa special kwa MMU hivo usishangae kuwa na wadada wengi sawa tu na jukwaa la siasa kuwa wanaume wengi ndo fani yetu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa hiyo mkuu unatakuniambia siasa ni ya wanaume tu, mkuu nadhani kunakaudhaifu fulani kwa upande wa mwanamke we fuatia hata darasani mwal. akijadili suala la mapenzi hata kama la kijinga utaona madada wanapiga makofi na watampenda sana na kumsifia huyo mwalimu tofauti na atakayezungumzia maisha na jinsi ya kulinda rasilimali zetu
 
Hahahahahahahahaahahahahah.....mwekundu umeniua mbavu hapo uliposema JASHO LINANUKIA SIKUKUU YA UHURU 1961.Hapo umeniua aisee.
 
Ila mdau mbona kuna wanaume pia wasiokua na haya hata chembe wanaingia kwenye mahotel na wanawake sawa na mama zao wa kuwazaa tena bila aibu anaweka kishoka kwenye gari inavopak hotelini,makavuuu!!!!. Hapo imekaaje mkuu.
 
kwani hujui uzinzi ni kazi ya shetani? hivi unafikiri shetani anaweza kumwambia mtu azini na nani,waulize wakamatwa ugoni wanavyojuta pale wanapokamatwa. utasikia..... shetani alinipitia mume wangu.....
 
kwa hiyo ni kosa la hao wasichana? sio kosa la vibabu kuwashawishi kwa pesa?
kwanini vibabu havitoki na vibibi? why is it only the girl's fault? au unaanza nao tu, later utaleta thread ya kuwablame na vibabu? then later ya kuwablame wamama wenye kutoka na vitoto, then later ya kuwablame vijana wa kiume wanao toka na vimama?
So adhabu yao vibabu ni kuwaua?


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwani wewe tatizo lako ni nini?

Ah hizi mada nyingine zimekaa kiumbea sana, hazinifai maana sipendagi umbea.
Bora umbea kuliko udaku-kama huo uliofanya wa kuingia na kuchangia wivu!!ungeondoka kimya kimya wala tusingefahamu kama uliingia humu


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
uwii mbavu zangu jamani
''jasho analotoa lina harufu ya sikukuu ya uhuru ya mwaka 1961''
eti wamwekee Microsoft Excell usoni.
Jamani we mwekundu mwanaume hasifiwi sura mwanaume anasifiwa kudeposit hela bank.

mwanaume anasifiwa kutoa dozi kamili wakati wa kugegeda bwana....kuwa na hela watakugegedea kama humgegedi demu vizuri
 
mwanaume anasifiwa kutoa dozi kamili wakati wa kugegeda bwana....kuwa na hela watakugegedea kama humgegedi demu vizuri
At the tie point they don't look hw grear are you in bed,they look for money mkuu


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
KWA MADEMU WA VYUO MKINICHUKIA POA TU.

Watu wanaowajua wakiwaona,wanahisi unampenda kweli,maana mahaba unamuonyesha hadharani,unambusu bila hofu...Watu wanajiuliza kwanini msichana mzuri kama wewe uko na jamaa ambae anaonekana AGE GO AGE WENT,hamfanani kiumri wala kiumbo na ki-wajihi..Kumbe una siri moyoni,humpendi kwa moyo ila kwa sababu ana hela,na wewe ni Mwanafunzi mwenye mahitaji,umeamua kujishikiza kama kifungo cha shati hadi umalize shule...

Mwanaume anajua kapata msomi,umetulia,kumbe mwenzangu una ajenda ya siri...Wanawke wana moyo,una miaka 19 unadate na jamaa lina miaka 47,jasho analotoa lina harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 1961 ila upo tu kwa ajili ya PESA....Halafu mashosti zako bila haya wanakwambia, 'Msalimie Shem Handsome' huku chinichini wanakucheka...

Wanafunzi wa Kike wa Vyuo Vikuu,mko juu sana,uko radhi umegwe na jamaa bovuuu kisa hela,hata mkipiga picha Photopoint wana-edit wee poda ya Computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee Microsoft Excel usoni!.

Mwekundu umeuwa mzee maana nayasoma haya maneno nayarudi siishiwi hamu kuyasoma unatisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom