Kwa wadada wa chuo natoa dozi

mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,033
Likes
10,398
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,033 10,398 280
KWA MADEMU WA VYUO MKINICHUKIA POA TU.

Watu wanaowajua wakiwaona,wanahisi unampenda kweli,maana mahaba unamuonyesha hadharani,unambusu bila hofu...Watu wanajiuliza kwanini msichana mzuri kama wewe uko na jamaa ambae anaonekana AGE GO AGE WENT,hamfanani kiumri wala kiumbo na ki-wajihi..Kumbe una siri moyoni,humpendi kwa moyo ila kwa sababu ana hela,na wewe ni Mwanafunzi mwenye mahitaji,umeamua kujishikiza kama kifungo cha shati hadi umalize shule...

Mwanaume anajua kapata msomi,umetulia,kumbe mwenzangu una ajenda ya siri...Wanawke wana moyo,una miaka 19 unadate na jamaa lina miaka 47,jasho analotoa lina harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 1961 ila upo tu kwa ajili ya PESA....Halafu mashosti zako bila haya wanakwambia, 'Msalimie Shem Handsome' huku chinichini wanakucheka...

Wanafunzi wa Kike wa Vyuo Vikuu,mko juu sana,uko radhi umegwe na jamaa bovuuu kisa hela,hata mkipiga picha Photopoint wana-edit wee poda ya Computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee Microsoft Excel usoni!.
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,166
Likes
8,614
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,166 8,614 280
uwii mbavu zangu jamani
''jasho analotoa lina harufu ya sikukuu ya uhuru ya mwaka 1961''
eti wamwekee Microsoft Excell usoni.
Jamani we mwekundu mwanaume hasifiwi sura mwanaume anasifiwa kudeposit hela bank.
 
Last edited by a moderator:
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,084
Likes
4,060
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,084 4,060 280
KWA MADEMU WA VYUO MKINICHUKIA POA TU.
Watu wanaowajua wakiwaona,wanahisi unampenda kweli,maana mahaba unamuonyesha hadharani,unambusu bila hofu...Watu wanajiuliza kwanini msichana mzuri kama wewe uko na jamaa ambae anaonekana AGE GO AGE WENT,hamfanani kiumri wala kiumbo na ki-wajihi..Kumbe una siri moyoni,humpendi kwa moyo ila kwa sababu ana hela,na wewe ni Mwanafunzi mwenye mahitaji,umeamua kujishikiza kama kifungo cha shati hadi umalize shule...Mwanaume anajua kapata msomi,umetulia,kumbe mwenzangu una ajenda ya siri...Wanawke wana moyo,una miaka 19 unadate na jamaa lina miaka 47,jasho analotoa lina harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 1961 ila upo tu kwa ajili ya PESA....Halafu mashosti zako bila haya wanakwambia, 'Msalimie Shem Handsome' huku chinichini wanakucheka...Wanafunzi wa Kike wa Vyuo Vikuu,mko juu sana,uko radhi umegwe na jamaa bovuuu kisa hela,hata mkipiga picha Photopoint wana-edit wee poda ya Computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee Microsoft Excel usoni!.
Kaka wewe ndio umelijua leo? Haya mambo hayajaanza leo, yapo toka enzi zile za Pontio wa Pilato
 
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
hata mkipiga picha Photopoint wana-edit wee poda ya Computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee Microsoft Excel usoni!.
mama yangu tumbo langu mie.........
hapo kwenye RED ndo nimetamani kuzimia, lol!
jamani njooni mcheke huku
cc cacico snowhite dada white Mamndenyi Ablessed mwaJ gfsonwin amu Kaunga Nivea Mwali AshaDii King'asti Kongosho FirstLady1 MwanajamiiOne Dena Amsi.....
Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V,zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
uwii mbavu zangu jamani
''jasho analotoa lina harufu ya sikukuu ya uhuru ya mwaka 1961''
eti wamwekee Microsoft Excell usoni.
Jamani we mwekundu mwanaume hasifiwi sura mwanaume anasifiwa kudeposit hela bank.
yaani mimi hapa tumbo langu chali kwa kucheka, lol!
mtu ana maneno huyu balaa
 
Toria

Toria

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
1,178
Likes
15
Points
0
Toria

Toria

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
1,178 15 0
Haa ha una hasira!! lazima utakua hendisam halafu huna chachang' wenzio sura za kibandidu wanatafuna tu totoz roho inakuumajee sasa apo

Chezea chachang' wewe
 
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Messages
7,024
Likes
36
Points
0
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2011
7,024 36 0
Sijamuelewa vizuri ila ninacho weza kusema ni kua kamwagwa na mwanafunzi,
probably because alidhani she would like him sababu ni kijana.
Hajaelewa it takes more than being young to become eligible siku hizi.
huo ujana wake "haulipi" in all the senses of the word.
Hayo ya jasho la 69 na pucha za photopoint sijui ndio nimepotea
 
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,447
Likes
3,521
Points
280
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,447 3,521 280
Hii kitu haina Umri!
 
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
Sijamuelewa vizuri ila ninacho weza kusema ni kua kamwagwa na mwanafunzi,
probably because alidhani she would like him sababu ni kijana.
Hajaelewa it takes more than being young to become eligible siku hizi.
huo ujana wake "haulipi" in all the senses of the word.
Hayo ya jasho la 69 na pucha za photopoint sijui ndio nimepotea
yaani mimi kilichoniacha hoi ni hayo maneno yake wala siyo stori nzima.....
eti mapoda hayakolei mpaka wanatamani wamwekee microsoft excel, lol!
 
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
15,035
Likes
99
Points
0
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
15,035 99 0
dah! mkuu punguza hasira , hao madenti wa chuo mbona wapo available sana tu tena kwa rika zote hawabagui na hawana hiyana
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,691
Likes
3,661
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,691 3,661 280
dah!!!!!! halafu nimekimbia usipime kumbe lolz!
FP huyu ndugu yangu anasahau kwamba kupendwa sio ujana tu
sio kwasababu yeye ni kijana basi huyu binti angempenda kumbe doro
mie nina ushahidi wa mdogo wangu mmoja aliolewa na mtu amabye age difference ni 15+ yrs siku ana niintroduce nilisema sawa kwasababu sikutaka kuwa sehem ya regrets kwake.
leo hii wameoana wanaisha maisha kama wako peponi, anakula good time na mzee wake kwa raha zake.
tena huwa anaiambiaga sister mie sina presha ya sijui kaenda kunicheat, ama sijui ana leta pozi gani hapana.
hapa ninachokipata ni ananiheshimu na kwasababu kanizidi umri sana hata nikikosea husema tu mke wangu nisamehe sikukuelekeza vzr ndo mana hapa umekosea. nabembelezwa kila nitakavyo ili nisije juta kwann nimeolewa na mzee and life to me is good kuliko walioolewa na vijana wenzao
mimi namaliziaga Mungu akufunike zaid.
so ujana sio sabbau ya kupendwa pengine wewe kijana umeandikiwa kuja kuoa ukiwa kizee wa 70+ who knows??
 
ha haaa, rafiki nilichokutimulia huko siyo uzi, bali hayo maneno ndani ya uzi......
nimecheka yaani mpaka sasa bado natabasamu, lol!
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,691
Likes
3,661
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,691 3,661 280
ha haaa, rafiki nilichokutimulia huko siyo uzi, bali hayo maneno ndani ya uzi......
nimecheka yaani mpaka sasa bado natabasamu, lol!
maneno yake makali sana na najua analo jeraha moyoni mweeh!

hapa nimekukmbuka khanga yangu moja hivi nilinunuliwa na mama miaka ya 90 hivi iliandikwa jraha limo moyoni.
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,787
Likes
867
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,787 867 280
hahahahah@FP nimejikuta naangua kicheko ofisini mpaka walioko jirani wananishangaa

hahahah mtoa post kweli umejua kuchekesha :)
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Likes
47
Points
145
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 47 145

yaani mimi kilichoniacha hoi ni hayo maneno yake wala siyo stori nzima.....
eti mapoda hayakolei mpaka wanatamani wamwekee microsoft excel, lol!
Hahhaaaaaaaa!
FP, mbona si wazee tunakazi? Kama mzee mwenzangu kawekewa mpaka microsoft excel usoni ili aonekana kijana kidogo, mi si ndiyo ndawekewa Microsoft power point au microsoft word kabisa?

lakini tukirudi kwenye ukweli baadhi ya wadada wa vyuo siku hizi wamejirahisi mno, na ni kweli wako kipesa kama alivyotanabaisha mdau hapo juu. Nidhamu, utu na heshima zao zimeshuka mno na ndiyo maana baadhi yao wamedirikia hata kuanza kuonekana maeneo fulani fulani wakijiuuza! Hebu fikiria msomi anayetarajiwa kuwa injinia au daktari, au mwanasheria au waziri au mkurugenzi nk leo hii kaanza ukahaba, hivi tutakuwa na taifa lenye viongozi wa aina gani miaka ijayo? Tutakuwa na watu wenye utu kweli au tutakuwa na watu viatu?
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,142
Likes
5,640
Points
280
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,142 5,640 280
yaani mimi kilichoniacha hoi ni hayo maneno yake wala siyo stori nzima.....
eti mapoda hayakolei mpaka wanatamani wamwekee microsoft excel, lol!
hahaa anakwambia eti "jasho analotoa lina harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 196"
hilo jasho sijui likoje
 
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
maneno yake makali sana na najua analo jeraha moyoni mweeh!

hapa nimekukmbuka khanga yangu moja hivi nilinunuliwa na mama miaka ya 90 hivi iliandikwa jraha limo moyoni.
yaani..... sijui watu wanatoaga wapi maneno!
ila kwa kweli kanichekesha sana.
ila ukisoma nyuzi zake naona katendwa sana na hao wadada wa chuo
 
Forum statistics

Threads 1,274,856
Members 490,833
Posts 30,526,099