Kimetah
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 1,049
- 189
mwanamke anacfiwa kumtunza mwanaume
sio shughuli kweli?
mwanamke anacfiwa kumtunza mwanaume
Kuachwa uachwe wewe, madongo urushe humuuu.... Majangaaaa.... Majangaa...... Mbona majanga?
mama yangu tumbo langu mie.........
hapo kwenye RED ndo nimetamani kuzimia, lol!
jamani njooni mcheke huku
cc cacico snowhite dada white Mamndenyi Ablessed mwaJ gfsonwin amu Kaunga Nivea Mwali AshaDii King'asti Kongosho FirstLady1 MwanajamiiOne Dena Amsi.....
Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V,zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer
Isizidi sana(extreme) hadi inakuwa aibu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
NI mbinu tu za watoto wa kidigitali kipambana na siye wa analogia lol
kwa hiyo ni kosa la hao wasichana? sio kosa la vibabu kuwashawishi kwa pesa?Mkuu kwani wewe huonagi hili mra kibao wasichana wadogo wanatoka na vibabu vyao hivi hii haki?Ndo mana matahira hawaishi!!its unfair na kwa kawaida msichana anakuwa kafuata fedha tena mwanaume(kizee) ukikaa vibaya anakudedisha arithi mali
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2,moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni zangu mezani'
Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda chuo..
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe alipoacha,kesi zinaanza...Hao ndo Wanawake wa kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia taratibu..Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'...My Brother,huna haja ya kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls,Siku hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua imekula kwako,inawindwa ndoa....WANAUMEEEEEEEEEE,Mpoo??Msiseme sikusema
kweli uzee ni majanga, kumbe excel ina edit picha pia? Nilifikiri ni adobe photoshop au macromedia pekee ndo zina funnction nyingi za kuedit picha, MENTION]FP[/MENTION] ngoja nirudi tuition ya kompyuta!
Wanasema age is just a number ila ni valid if there is LOVE. kwa habari ya pesa ni another level of understanding!!!! Ms Excel ikitumika kuedit uso cjui itakuajeKWA MADEMU WA VYUO MKINICHUKIA POA TU.
Watu wanaowajua wakiwaona,wanahisi unampenda kweli,maana mahaba unamuonyesha hadharani,unambusu bila hofu...Watu wanajiuliza kwanini msichana mzuri kama wewe uko na jamaa ambae anaonekana AGE GO AGE WENT,hamfanani kiumri wala kiumbo na ki-wajihi..Kumbe una siri moyoni,humpendi kwa moyo ila kwa sababu ana hela,na wewe ni Mwanafunzi mwenye mahitaji,umeamua kujishikiza kama kifungo cha shati hadi umalize shule...
Mwanaume anajua kapata msomi,umetulia,kumbe mwenzangu una ajenda ya siri...Wanawke wana moyo,una miaka 19 unadate na jamaa lina miaka 47,jasho analotoa lina harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 1961 ila upo tu kwa ajili ya PESA....Halafu mashosti zako bila haya wanakwambia, 'Msalimie Shem Handsome' huku chinichini wanakucheka...
Wanafunzi wa Kike wa Vyuo Vikuu,mko juu sana,uko radhi umegwe na jamaa bovuuu kisa hela,hata mkipiga picha Photopoint wana-edit wee poda ya Computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee Microsoft Excel usoni!.
Wadada wa chuo wameku-kung fu?
Ila topik marudio