Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

we dada unatutia aibu ina maana hata hujui kitu unachotaka kwanza hayo mahusiano ya watu wote hao ya nini nyie ndo wale mnaotuaibisha mpe nafasi yule ambaye yupo moyoni mwako pesa na mali ni matokeo zaweza kwisha au ziwepo lakini usizione usifikiri kupata mume mwenye pesa ndo kufanikiwa kimaisha . unaweza usizione vile vile mali utatafuta mkiwa wote na utaifurahia sio hiyo ya kwenda kula jasho la wenzako

kwa maelezo yako na wasiwasi na wewe sidhani kama utaweza vumilia kama sio yale ya kwenda kumpa presha mmasai baada ya ndoa huku ukiendelea kuchuna mali za vigogo .
 
Halafu ukishamchagua mmoja, hao wengine unawapeleka wapi?
Post ya kwanza hiyo jamani.

Mimi sio Mkaka wa JF, mimi ni Mbaba wa JF

Chabo ruksa?

Marytina naomba nikuulize swali kwani wewe umegeuzwa Test Tube????????

Well said!!...........Lakini sasa Lizzy........kwani mwenye hela hawezi kuwa na mapenzi? naona kama uchagga unarudia hapa, especially umarangu.
najaribu kusoma katikati ya mistari ya bidada hapo juu

wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .

Sio tukumbuke pesa ni muhimu katika maisha kwani nani hajui hilo banaa, wewe sema unapenda pesa acha kutuzuga hapa banaaa

nani kakwambia mimi mwanaume?........omba radhi.

Tu parles comme une pute?


kwa hiyo nani kati yenu anayetaka mume? wewe au mama yako?

are you sensing something LD? hebu pekua ma-file.
Post ya kwanza tu ananiita mwanaume.........na jina langu kama la Roselyne

Hv topic ni nini tena hapa?? Kumbushia mimi please
 
rose naomba msimamo wako manake wameniandama mpaka nimeamua kujificha.

Lazima ujifiche maana haya uliyoyaandika si maadili ya kike mwanamke unakuwa na wanaume chungu nzima huna hata haya kusema hivyo??
 
mapenzi ya kweli ndo muhimu katika maisha, aijalishi ana pesa au hana cha muhimu ni kupendana kwa dhati , Fuata moyo unapokuelekeza usifwata mawazo ya mtu mwingine, unaweza ukafwata pesa , zikiisha je? utaondoka au? hahaha, thanx
 
hiyo ya marytina mi siiwei kabsaaaa..
tatiana nakwambia ukitaka uwe na mmoja and the only one siku wazushi wakimpa uongo utajinyonga kwa maumivu bora uwaweke wengine standby ila sio uwape.
 
Wewe ni ndaza kapime ukimwi kabla ya kumpoteza masai inelekea vimidola vyake vimekupagawisha wakati ulikuwa huko uswazi na jamaa kibao sasa umeona mwezi na jua unashindwa kuchagua nikipi kinachofaa kwa maisha yako!!huu nimtazamo wangu kwakuwa nipo kwenye jamiiforums my great network!!
kamuulize demu wako alikupendea nini huku ukimwangalia machoni utajua namna hela inavyo....
 
Olewa dada yangu. ..

Saaa nyingine tunachagua kupita kiasi mwishowe twakosa kila kitu. .
tuna tafufuta mwanaume aliye perfect kwenye kila idara. .lakini hakuna alie huvyo. Ukipata mwenye asilimia 80% that is close to perfect dear. .

Haya mie nasubiria mwaliko. .
afrod kuolewa ntaolewa ila niolewe na yupi?masai au mmarangu,kumbuka ccm haitabiriki mara gafla hamna tena cha loan board watoto watasomaje univarsity?
 
tatiana nakwambia ukitaka uwe na mmoja and the only one siku wazushi wakimpa uongo utajinyonga kwa maumivu bora uwaweke wengine standby ila sio uwape.

thubutu,sio rahisi kiivyo!Tatiana hebu jidanganye ufuate huo ushauri!!!!!!
 
Ooooooohhhhhh dear najua tunapenda penye fedha. .
Lakini mie naona fuata penye upendo. .
Fedha ni mchanga .
Na upendo ndo ardhi. .
jiulize upendo utalipa bili za matibabu?wanangu wajesoma st.kayumba cz of upendo,upendo hulipa ada za shule, ELEWA MUME SI SWALA LA MCHEZO ni yeye atakayekuwezesha survival ya watoto.TUNAKULA ILI TUISHI, TUNAISHI ILI TO PASS OUR GENETIC MATERIALS TO NEXT KIZAZI sasa ya nini uzae wakati unajua watoto wataperish?au tubadilishe ccm tuweke chadema sera na mwelekeo ueleweke mapema.
 
afrod kuolewa ntaolewa ila niolewe na yupi?masai au mmarangu,kumbuka ccm haitabiriki mara gafla hamna tena cha loan board watoto watasomaje univarsity?

Olewa na mmasai Marytina,hayo mengine mwachie Mungu mwenyewe na wewe nayeye mfanye bidii,mtasomesha hao watoto.

Majority ya watu hata pale UD wazazi wao ni wa kipato cha chini,kama ni suala la kusoma,Mungu anaiona haja ya moyo wako,timiza wajibu wako,walee watoto katika misingi sahihi na wakabidhi mikononi mwa Mungu......Huyo mmarangu anaweza hata asiwepo by the time hao watoto wanafika university,amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu,mweke Mungu mbele kama huna elimu ya kutosha ongeza,usimfanye mwanaume mradi wa kukusomeshea watoto.....😛lane:😛lane:
 
Back
Top Bottom