- Thread starter
- #401
hapana nlitoka kwenda jikoni kwa muda afu nimeudhika wakaka kulete umbeya kwenye hii thread.Hivi aliyeleta hii thread yuko wapi au ndio tayari kaishapata majibu yake
hapana nlitoka kwenda jikoni kwa muda afu nimeudhika wakaka kulete umbeya kwenye hii thread.Hivi aliyeleta hii thread yuko wapi au ndio tayari kaishapata majibu yake
hapana nlitoka kwenda jikoni kwa muda afu nimeudhika wakaka kulete umbeya kwenye hii thread.
Olewa dada yangu. ..
Saaa nyingine tunachagua kupita kiasi mwishowe twakosa kila kitu. .
tuna tafufuta mwanaume aliye perfect kwenye kila idara. .lakini hakuna alie huvyo. Ukipata mwenye asilimia 80% that is close to perfect dear. .
Haya mie nasubiria mwaliko. .
Mimi ni mbaba sio mkaka[/QU
Shikamoo dear
Umesha signe divorse paper? ?
Mimi ni mbaba sio mkaka[/QU
Shikamoo dear
Umesha signe divorse paper? ?
Ha ha ha ha lol!!!!!!!!!
Huyu mara anataka mchaga mara mmasai shauri zake ataishia:crying::crying::crying::crying:
Mmmmmmhhhhhh kwa hiyo tayari? ?Ha ha ha ha lol!!!!!!!!!
Ntazipitia kesho lol
eeh Marytina wewe Mkali
Naona una shortlist ndefu ya wachumba sasa
Siamini kama wote hao haudo nao.
1.Huyo mnapeana Busu siamini kama kila siku atakubali apewe busu na kuondoka:lying:
2.Huyu wa kumtoa Chunusi ndo basi tena sikuamini kabisa :nono:
3.Wa mabusu kumi nae napata utata:lying:4.Wa kumaliza vyote -mmh
5.wakumpungia:nono:
6. Wakupena mikono:A S 39:
Binti Marytina naona kama umekosa maadili au kwa vile mie nishajizeekea miaka ile mambo haa makubwa sijapitia:A S 39::confused2:
Mmmmmmhhhhhh kwa hiyo tayari? ?
Ntazipitia kesho lol
Dah!!!! Zimeungua na moto lol!!!!!
eeh Marytina wewe Mkali
Naona una shortlist ndefu ya wachumba sasa
Siamini kama wote hao haudo nao.
1.Huyo mnapeana Busu siamini kama kila siku atakubali apewe busu na kuondoka:lying:
2.Huyu wa kumtoa Chunusi ndo basi tena sikuamini kabisa :nono:
3.Wa mabusu kumi nae napata utata:lying:4.Wa kumaliza vyote -mmh
5.wakumpungia:nono:
6. Wakupena mikono:A S 39:
Binti Marytina naona kama umekosa maadili au kwa vile mie nishajizeekea miaka ile mambo haa makubwa sijapitia:A S 39::confused2:
Haya ngoja nimuombe lawyer wangu akutumie nyingine lol. .Dah!!!! Zimeungua na moto lol!!!!!
Mimasai bwana tamaduni yenye ngufu iliyobaki afurica hahaga lol
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
Nimechanganyikiwa ngoja nivute pumzi! By the way unawezaje kuwa na multiple relationships? Mh!
Typical golddigger!
Mbona Yaonyesha Unataka vyote? Kuolewa Umasaini na Pesa.......................My Advice. Olewa Umasaini and wewe na Masai mpange mikakati ya kuzisaka hizo Karatasi ziitwazo pesa!!!!!
Note: Nimevunja agano. Mimi ni mkaka, I guess my advise may sound so usi judge Gender