Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

wadada wa style hii ndio hupata bahati ya kuolewa!hii dunia ni full of suprising.
wale wanaojitunza wanabaki na degree zao badae wanajizalia watoto wao maisha yanaendelea
 
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.

Asikudanganye mtu mwaego... fata kwenye pesa, mapenzi hayaliwi, hayakupi prado, hayakununulii cheni na heleni za dhahabu, hayakupeleki shopping dubai, money does.... pesa ni kila kitu, akikuchanganya unakuwa ushajilimbikizia na wewe mali zako kifisadi hubabaiki, unaenda kwa mwingine mwenye pesa kuongezea za kwako... kumbuka "chako, chako.... chake, chenu"....:car:
 
Ha aha ha ha ha ha lol!!!!!😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:
 
Asikudanganye mtu mwaego... fata kwenye pesa, mapenzi hayaliwi, hayakupi prado, hayakununulii cheni na heleni za dhahabu, hayakupeleki shopping dubai, money does.... pesa ni kila kitu, akikuchanganya unakuwa ushajilimbikizia na wewe mali zako kifisadi hubabaiki, unaenda kwa mwingine mwenye pesa kuongezea za kwako... kumbuka "chako, chako.... chake, chenu"....:car:

Kwa hali hii inabidi tuu aachane na huyo mchagga amtafute Rostam kabisa.
 
Dada achana na wachagga katika levo zote. hawa watu ni soo wanawezana wenyewe kwa wenyewe.... ila wapo waliojaribu sijui kama wana guts ya kueleza mambo walikutana nayo ikiwemo.......fanya haraka maliza niende kufanya hesabu za duka nk nk.
wazo tu lakini
 
Unakosea mpenzi kufanya hayo.mwanaume mmoja anatosha,akikumwaga unaishi peke yako kwani mwanamke bila kuolewa inawezekana.inaonyesha hujiamini mtoto wa kike unafikiri kuolewa ndio mwisho wa matatizo.tengeneza mazingira yakuishi kwa kutegemea pesa zako.au hukwenda shule mpenzi unategemea fadhila ya wanaume?anaweza akakuoa na bado akakumwaga.jiamini mtoto wa kike.wanaume sio watu wa kuwawekea dhamana.
 
hahahahahaaa!!!! unatafuta mwanaume halafu unawaita wengine wambeya? kama huna respect kwa wanaume unatafuta nini kuolewa sasa.
sorry nilipaniki nikakuita mkaka, am real sorry for that, vipi mzimz wewe? jana nlikuwa na masai wangu tulienda wote kanisani, then tukaachana jioni nkaenda kwao mama yake akaendelea kunifundisha lugha ya kimasai kila sekunde nliifurahia, you knowkwa sasa mtu hawezi kuniteta kimasai.
 
ulivyong'ang'ania future ya watoto, na usipozaa je itakuwaje kuishi na mtu usiempenda, kumbuka kuzaa nayo ni majaaliwa
kama sio kwa future ya watoto what is the biological sense of life.In wild, mbuga, mapori only simba wanaozaliwa na baba strong will survive and hence pass to next kizazi so kwa kuwa maisha yanabana ni muhimu kuwa na chalii strong (pesa) ili watoto wasurvive.
 
I, [Marytina], take you, [Mchaga], to be my (husband). I promise to be true to you in good times and in bad, in sickness and in health. I will love you and honor you all the days of my life. I, [Marytina], take you, [Mchaga], for my lawful (husband), to have and to hold, from this day forward, for better, for worse, for richer, for poorer, in sickness and in health, until death do us part. [/QUOTE].. sijasema nimeshaamua kwenda marangu, ila nimewaeleza namna navyochanganyikiwa na hawa machalii...masai nampenda ile ni aje,ila najionea huruma.WADADA WASEME UKWELI KUWA HATA WENYEWE WANETATANIKA KAMA HILIM LINGEWAPATA.
 
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
jamani dada wa ajabu sana,kupendwa bahati just ujue ni wachache sana wanaopendwa kwa hiyo usiichezee hiyo bahati kwa mmasai.anaishi na mama yake kwani ukiongezeka wewe atashindwa kukulisha?
 
marytina yaan kama ingewezekana uje mtaani kwetu ujionee namna wasichana wanavyosumbuka kubembeleza ndoa ungerudi huko AR umlazimishe huyo masai atangaze ndoa haraka.hivi mabint mboma kama hamna akili timamu?hela zitawafikisha wapi?tena huyo masai ana kazi (nanukuu ADMINISTRATOR wa tour company) na angekuwa muokota chupa za maji ya uhai bongo(ajira au radhi za rais JK kwa masikini) ungempa hata mkono akubusu?
 
dah yaani dada kumbe hujaolewa mshikaji wangu? duh...mwombe Mungu usiingie shimoni, usijejuta maisha yako yote..kwasababyu kama unawaweka watuw engine kwenye mstari, aisee, bado kazi unayo sana...mke mwema atoka kwa Mungu na mme mwema anatoka kwa Mungu vilevile...
 
Nenda kwa mchaga kuna pesa. kila kitu. had ukimwi. jipange kisawasawa. changamoto ni kubwa kuliko kunywa kibuyu cha maziwa kila asubuhi na kula nyama mbichi.
 
kweli hapa wakaka hawatakiwi, hizi ni stori za salon za kike wakaka hazituhusu, ila nikiwa hapo kwa dirisha nimesikia, hivi dah kumbe wanapangwa hivi?? :nono:
 
Wewe ni kicheche tu, tukushauri nini wakati una makaka wengi unao-do nao? Unatupotezea muda
 
Back
Top Bottom