Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

hahaa!michelle bwana,unanifurahisha sana.

salama huko???

Sikutegemea uwe active huku saa hizi??

Au ndo TF ndo wale wa sekunde hadi dakika kumi kazi mpaka baada ya wiki mbili???
 
no mane no hane....l.o.l
Sasa hujui........unafanya kitu cha hivi :mimba::mimba: then unapeleka hii kitu........hakuna cha mone ..hane wala nn.
 

Attachments

  • mbuzi.jpeg
    mbuzi.jpeg
    12.6 KB · Views: 50
Mi niache hapo hapo kwenye list.......... si unajua unaweka unabandua, sasa ukimbandua Hashy utaweka nn kama hakuna mtu kwenye list?

Na umri ndo huu, biological clock ina tick faster mno, Hashy nimemweka na super glue,by the time nambandua ntakuwa nimeshaweka mwingine..

Mwanamke akili bwana,unaweza shangaa 36 una mbwela mbwela tu mjini................lol
 
na mdau mmoja kasha nifundisha nikichelewa home nawaalika polisi.....basi hamna noma marangu mtoni poa na kuna wale mbuzi wetu wa kutosha pale.....pilau ukome kabisa
Now you are talking...........nimpigie Tarimo? aweke kilo ngapi? za kuchoma au kuchemsha?
 
na mdau mmoja kasha nifundisha nikichelewa home nawaalika polisi.....basi hamna noma marangu mtoni poa na kuna wale mbuzi wetu wa kutosha pale.....pilau ukome kabisa

Itakula kwako, ndo kosa kubwa ulilofanya kuruhusu mimi kuwa JF,hilo nalijua babu,utashangaa siku hiyo!!
 
salama huko???

Sikutegemea uwe active huku saa hizi??

Au ndo TF ndo wale wa sekunde hadi dakika kumi kazi mpaka baada ya wiki mbili???
Naomba niende pale TFF nikaulize kama huyu kijana anweza kuanzishiwa special programme ili aweze kuwa fit. Hiyo ni hatari sana
 
salama huko???

Sikutegemea uwe active huku saa hizi??

Au ndo TF ndo wale wa sekunde hadi dakika kumi kazi mpaka baada ya wiki mbili???

Hahahaa weww! TF mziki wake mnene. mp3 yake inaplay continuasly tena bila kuscrach. lol
 
Mimi na Hashy tunapenda ya kuchoma ndo inaenda vizuri na Konyagi ati!!
Ngoja kwanza.......sasa hii competion mbona kama nabaguliwa........yani ndo tumeanza tu, unakuwa msenajiwa Hashy?!
 
Mimi na Hashy tunapenda ya kuchoma ndo inaenda vizuri na Konyagi ati!!

vere xperienced nazidi kufa kwako ka jamaa yangu mmoja kwenye li sredi lake la lizzy
halafu huwa nakupenda maradufu nikisha kunywa mizinga miwili sijui kwanini?
 
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
Wewe ni ndaza kapime ukimwi kabla ya kumpoteza masai inelekea vimidola vyake vimekupagawisha wakati ulikuwa huko uswazi na jamaa kibao sasa umeona mwezi na jua unashindwa kuchagua nikipi kinachofaa kwa maisha yako!!huu nimtazamo wangu kwakuwa nipo kwenye jamiiforums my great network!!
 
hahahahahaaa!!!basi tutaona kama mtakubaliana kwenye kuzoa kinyesi..........nani anazoa? wewe au Michelle?

Mimi ndo nazoa,wajibu wangu huo, shangazi yangu mngoni alinifundisha..................l.o.l
 
Back
Top Bottom