- Thread starter
- #461
sasa mbona unaanza kandia wamasai?au kaka zako wamarangu unawaonea huruma?kumbuka hao wachaga ni wajomba zanguPunguza ukali na wewe, huyo mmasai mi ntapeleka wapi???lol
sasa mbona unaanza kandia wamasai?au kaka zako wamarangu unawaonea huruma?kumbuka hao wachaga ni wajomba zanguPunguza ukali na wewe, huyo mmasai mi ntapeleka wapi???lol
sasa mbona unaanza kandia wamasai?au kaka zako wamarangu unawaonea huruma?kumbuka hao wachaga ni wajomba zangu
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
mkaka mbeya umefwata nini in this sredi,NIELEWE SIMAANISHI NATEMBEA NAO WOTE,mmoja yupo standby anasubiri mwenzake alikorogeMkubali atakayekutundika mimba wa kwanza...
NAWAOGOPA WAKAKA WAMBEYA ningekuomba ushauri wa jambo lingine ila nahisi watairukia hiyo sredi waaribu kabisa mantiki yakeMarytina,kuna utani huku JF pia,soma mtiririko wa mazungumzo utagundua tunataniana......
Siwezi kandia kabila la mtu,binadamu wote ni sawa na wana haki ya kupenda na kupendwa
Na kote huko nyuma nimekushauri uusikilize moyo wako,ambao uko kwa mwanaume ambaye ni mmasai.
Samahani kama nimekukwaza.
hahahahahaaa!!!! unatafuta mwanaume halafu unawaita wengine wambeya? kama huna respect kwa wanaume unatafuta nini kuolewa sasa.NAWAOGOPA WAKAKA WAMBEYA ningekuomba ushauri wa jambo lingine ila nahisi watairukia hiyo sredi waaribu kabisa mantiki yake
acha matusi kwa shoga yangu, anatafuta ushauri tu jamani kama huna la kusema acha mdomo utue nziTu parles comme une pute?
NAWAOGOPA WAKAKA WAMBEYA ningekuomba ushauri wa jambo lingine ila nahisi watairukia hiyo sredi waaribu kabisa mantiki yake
kawaulize dada au shangazi zako kama kabla ya kuolewa walikuwa na mmoja and the only mmoja.wakaka mnajiona wajanja mnazungukwa ile ni aje, cha muhimu mdada usikubali kumegwa na wawili kipindi kimoja.ukiwa na JAMES usimegwe na kimaro ila muweke standby
anawataka wamsomeshee mtoto wake yunivasiti bila msaada wa loni bodi
Halafu ana mkataba na Mungu, kwamba huyo mtu ataishi adi watoto wakue awasomeshe!!
Mimi ni mkaka ila naomba niingilie kuku-save dada yetu.
Kwanza unatakiwa ujue na utambue NI KITU GANI KINAKUSUKUMA UINGIE KTK NDOA, pesa???? Upendo??? Kabila???? Sura ya mtu???
Pili unatakiwa uachane na fikra tegemezi kwa kutegemea pesa ya kukutunza itoke kwa mwanaume, wewe huwezi kujenga uwezo wa kujipatia pesa yako mwenyewe, au umeshakata tamaa???
Tatu fahamu kwamba ukimfuata mwanaume kwa pesa, atakudhibiti kwa pesa, atakuburuza kwa pesa, atakunyanyasa kwa pesa, na mwishowe atakumaliza kwa pesa.
Hitimisho ni kwamba, wanawake wengi wanashindwa kufanya maamuzi kwa faida ya maisha ya baadae badala yake hufanya maamuzi kwa faida ya leo na kesho. Hakuna mtu aliyezaliwa na pesa, na kwa hiyo pesa inaisha. Ila kuna watu wamezaliwa na upendo, na upendo KAMWE HAUISHI.
Fanya maamuzi sahihi
CPU, The GreatMan
jiulize upendo utalipa bili za matibabu?wanangu wajesoma st.kayumba cz of upendo,upendo hulipa ada za shule, ELEWA MUME SI SWALA LA MCHEZO ni yeye atakayekuwezesha survival ya watoto.TUNAKULA ILI TUISHI, TUNAISHI ILI TO PASS OUR GENETIC MATERIALS TO NEXT KIZAZI sasa ya nini uzae wakati unajua watoto wataperish?au tubadilishe ccm tuweke chadema sera na mwelekeo ueleweke mapema.
Unajiulizaga kuhusu watu wasio na kazi wala elimu wala ardhi ya kulima na wanaishi na watoto wao wanakua vizuri na kuwa watu wa maana kutoka hizo ST Kayumba,ila wametoka ndoa zenye amani na furaha na upendo??na wanakuwa watu wa maana sana???Ukitaka kufanya decision yoyote angalia pande tofauti,maisha yako hayako mikononi mwako,do your best,the rest leave it to GOD......Hata nchi hii ikienda CHADEMA,hawatakuwa suluhisho la kila kitu,haya umeolewa na huyo mmarangu hela zikaisha,utamhama uende kwa mwingine,why this dependency behaviour???Huwezi kusimama kama Marytina,yani you are not taking any initiative unang'ang'ania watoto na shule wasomeshwe,we ni mlemavu wa ubongo,huwezi fanya kazi???
Dah!! kazi kweli kweli....ngoja nivute pumzi nirudie tena kuisoma hii post maana ni kama tamthilia