Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.

Mhhhh! makubwa haya! weye ndoa wala haikufai bora uendelee kuwahadaa tu hao jamaa na kuendelea kuwapanga mstari.
 
yaani nazidi kukupenda every minute...naona watu wamelala humu sie tujivinjari....
Nipo na ninaona, sihitaji miwani.
si mnaweka mipango ya kusomesha university wale watoto wenu sita?
Kesho mapema kabisa umcheck TF......atakuwa amewahi Marie Stopes kucheck malaria.......unafikiri kitu cha Tanzania distileries + TATIANAunapata nini?
 
Twende tukamshauri kuna dogo anataka kujua eti,atajuaje kama mchumba wake anampenda???
Nafikiri tuna majibu kutoka hii thread tukampe,sisi si tayari tunajua??
 
Sala zimejibiwa nilikuwa naomba nipate mmarangu wa mwika ndani mwenye pesa kama loan board,na nimepata,mmasai sasa anaweza kuwa historia!!!

mmasai na mapenzi wapi na wapi bana! njoo huku tuponde mali kufa kwaja...au umesahau ule wimbo wa vunja mifupa ingali bado meno iko?
 
Unaonaje utuweke kwenye line angalao wawili......yani hashy kity cha mwika ndani, mimi kitu cha mamba ndani......unacheki wapi pana landrover na wapi pana Toyota stout....the unajichagulia mmarangu wako mmoja.
 
kaka mimi nina mandolini tatu,mifugo wakufikia mbege daily.....halafu ukome kuwa house breaker
 
Nipo na ninaona, sihitaji miwani.
si mnaweka mipango ya kusomesha university wale watoto wenu sita?
Kesho mapema kabisa umcheck TF......atakuwa amewahi Marie Stopes kucheck malaria.......unafikiri kitu cha Tanzania distileries + TATIANAunapata nini?

Unapata wale wanaotufanya tusichague mapenzi ya kweli bali hela........
😛lane:
Na wale hivi hawajajipanga,na Tatiana aliwahi kule inaonyesha patachimbika,mi ntapita pale mwenge......nikiwakuta straight kwa mchungaji wakatubu kama itakuwa tayari wameshapimwa malaria........lol
 
mmasai na mapenzi wapi na wapi bana! njoo huku tuponde mali kufa kwaja...au umesahau ule wimbo wa vunja mifupa ingali bado meno iko?

Si ndo hapo,maisha mafupi haya!!! niko njiani,mimi as long as hela ya kusomesha watoto ambao bado hatuna na hatuna uhakika kama tutakuwa nao,mimi niko tayari..........on ma way!!!😛lane:😛lane:😛lane:
 
Unaonaje utuweke kwenye line angalao wawili......yani hashy kity cha mwika ndani, mimi kitu cha mamba ndani......unacheki wapi pana landrover na wapi pana Toyota stout....the unajichagulia mmarangu wako mmoja.

Good advise,ila unaudhi,si unge ni PM jamani,unamwaga radhi kwenye kuku wote hawa????
 
Unaonaje utuweke kwenye line angalao wawili......yani hashy kity cha mwika ndani, mimi kitu cha mamba ndani......unacheki wapi pana landrover na wapi pana Toyota stout....the unajichagulia mmarangu wako mmoja.

Yani mmetoka kumsema dada wa watu kumbe mnapenda kutumiwa!Akiridi ntamwambia akuone kwa maongezi zaidi ila mMassai ndo anavisha dada pete we utakua Mr. ATM!
 
Si ndo hapo,maisha mafupi haya!!! niko njiani,mimi as long as hela ya kusomesha watoto ambao bado hatuna na hatuna uhakika kama tutakuwa nao,mimi niko tayari..........on ma way!!!😛lane:😛lane:😛lane:

nahivyo ulivyokuwa unawapanga ukute umeangusha ka watoto watano halafu kizazi kimefeli....university lazima iwe yako
 
kaka mimi nina mandolini tatu,mifugo wakufikia mbege daily.....halafu ukome kuwa house breaker

Usimjibu huyo mmasai aliyehamia marangu,mi stout ya nini sasa wakati una mandolini na mifugo????

We Big vipi?? hujioni??
 
Unapata wale wanaotufanya tusichague mapenzi ya kweli bali hela........
😛lane:
Na wale hivi hawajajipanga,na Tatiana aliwahi kule inaonyesha patachimbika,mi ntapita pale mwenge......nikiwakuta straight kwa mchungaji wakatubu kama itakuwa tayari wameshapimwa malaria........lol
hahahahaa! TATIANA anamix nyagi na St. Anna.........lazima wakimbie leo.
 
Back
Top Bottom