Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Usimjibu huyo mmasai aliyehamia marangu,mi stout ya nini sasa wakati una mandolini na mifugo????

We Big vipi?? hujioni??
Aisee hashy...........mi nina bar na bucha la nguruwe.
kwanza kwanza watoto wataanza kuuza bar na kuuza bucha wakati wanatoka shule ili wajue hela inatafutwaje............na wasipofungua bar yao au hata duka kabla ya chuo kikuu, watapigwa mabomu mungu naapa.
 
mpaka uje utambue kuwa hawana maana lazima foleni ya hit and run ilikuwa kubwa ka ile ya kumuona dokta masawe wa tumaini

mimi mama yangu mchagga alishaniambia,hawana maana...............lol
 
Aisee hashy...........mi nina bar na bucha la nguruwe.
kwanza kwanza watoto wataanza kuuza bar na kuuza bucha wakati wanatoka shule ili wajue hela inatafutwaje............na wasipofungua bar yao au hata duka kabla ya chuo kikuu, watapigwa mabomu mungu naapa.

asee bigirita unataka tuweke mali zetu hazarani eeeh.....
 
hahaaa,hakimbii mtu hapa ni kilaji tu bandika bandua bigie.
hahahaha!! Unajua hata Marytina anafanya hivyo hivyo, ila yeye anaweka Lymo, anabandua Tarimo, anaweka Masawe, nabandua Makundi.
 
asee bigirita unataka tuweke mali zetu hazarani eeeh.....

Achana nae tafadhali, tusije vamiwa,hajui watu tuna vihamba kama mkoa mzima wa Dar kule kijijini, na hata ile Airport ya Himo tumegawia tu serikali,Biggie anajiona sana na hilo bucha lake,nchi ikigawanywa huna lako wewe!!!!
 
hapana muzee ya Mwika ndani ndani.........tufanye hivi, twende tukanywe bia pale Rombo......kama sio tamu tukanywe za marangu mtoni.....kama huwezi basi michelle naitumia kupata pilau fasta. how about that!!
 
hahahahaaa! sasa naona umeingia kwenye siasa za zenj.........soree!! hahahahaaa!
 
ndio,Hashy ana maana zaidi,wewe Biggie uko kwenye list tu!!!:A S 39:
Mi niache hapo hapo kwenye list.......... si unajua unaweka unabandua, sasa ukimbandua Hashy utaweka nn kama hakuna mtu kwenye list?
 
hapana muzee ya Mwika ndani ndani.........tufanye hivi, twende tukanywe bia pale Rombo......kama sio tamu tukanywe za marangu mtoni.....kama huwezi basi michelle naitumia kupata pilau fasta. how about that!!

na mdau mmoja kasha nifundisha nikichelewa home nawaalika polisi.....basi hamna noma marangu mtoni poa na kuna wale mbuzi wetu wa kutosha pale.....pilau ukome kabisa
 
Back
Top Bottom