- Thread starter
- #441
pls konakali tueshimiane washtue wamarangu ila masai niachie,yanin mambo ya jf uyapeleke kwa machalii wa street?Nmemgundua huyo mmasai...! Na sasa naenda kumshtua...! However, i am a man...
pls konakali tueshimiane washtue wamarangu ila masai niachie,yanin mambo ya jf uyapeleke kwa machalii wa street?Nmemgundua huyo mmasai...! Na sasa naenda kumshtua...! However, i am a man...
Olewa na mmasai Marytina,hayo mengine mwachie Mungu mwenyewe na wewe nayeye mfanye bidii,mtasomesha hao watoto.
Majority ya watu hata pale UD wazazi wao ni wa kipato cha chini,kama ni suala la kusoma,Mungu anaiona haja ya moyo wako,timiza wajibu wako,walee watoto katika misingi sahihi na wakabidhi mikononi mwa Mungu......Huyo mmarangu anaweza hata asiwepo by the time hao watoto wanafika university,amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu,mweke Mungu mbele kama huna elimu ya kutosha ongeza,usimfanye mwanaume mradi wa kukusomeshea watoto.....😛lane:😛lane:
jiulize upendo utalipa bili za matibabu?wanangu wajesoma st.kayumba cz of upendo,upendo hulipa ada za shule, ELEWA MUME SI SWALA LA MCHEZO ni yeye atakayekuwezesha survival ya watoto.TUNAKULA ILI TUISHI, TUNAISHI ILI TO PASS OUR GENETIC MATERIALS TO NEXT KIZAZI sasa ya nini uzae wakati unajua watoto wataperish?au tubadilishe ccm tuweke chadema sera na mwelekeo ueleweke mapema.
no at all nimempa masai muda wa mwaka amalizie mpango flani kisha ntamuumiza mama kwa kumwambia naenda kuolewa,magolddigger wote wanamachalii wanaowapenda kikweli sio kwa kuwa na mkwanjwa,masai ni wa ukweliTypical golddigger!
safi sana michelle,
nimependa huu ujumbe wako hasa,
kwa mdogo wako marytina,!!!
ombi langu kwako, kama ujuavyo kizuri kula na nduguyo!!!!
sijui weekend hii hashycool utakuwa nae?
nina jambo zito la moyoni la kukwambia!stay blessed!!!!
bado mapema sana bana
michalle nani kakwambia naenda marangu? niliyowaeleza ni changamoto nazoziwazia ila moyo wangu upo kwa masai,siku ya maandamano ya chadema ARUSHA nilimpiga ban asiende manake staki hata aguswe na jani la mti.This is a diamondigger,its more than gold.............lol 😛lane:
Tumeshamshauri,kazi kwake sasa!!
Yani huyu Hashy jamani,haya mambo ya kupenda hela na mali
Kaniacha huku shamba yuko huko anazunguka na kusema yuko ''available''
Niko kijijini Marangu na mifugo yake,ndo nimemaliza kuoga nimekuja hapa kumchungulia
Niambie hilo jambo zito kwa PM basi Bacha,nikirudi mjini nikutafute???
STAY BLESSED TOO
, sijawai kutembea na machalii wawili kwa kipindi kimoja na sitafanya uo upuuzi.we dada unatutia aibu ina maana hata hujui kitu unachotaka kwanza hayo mahusiano ya watu wote hao ya nini nyie ndo wale mnaotuaibisha mpe nafasi yule ambaye yupo moyoni mwako pesa na mali ni matokeo zaweza kwisha au ziwepo lakini usizione usifikiri kupata mume mwenye pesa ndo kufanikiwa kimaisha . Unaweza usizione vile vile mali utatafuta mkiwa wote na utaifurahia sio hiyo ya kwenda kula jasho la wenzako
kwa maelezo yako na wasiwasi na wewe sidhani kama utaweza vumilia kama sio yale ya kwenda kumpa presha mmasai baada ya ndoa huku ukiendelea kuchuna mali za vigogo .
michalle nani kakwambia naenda marangu? niliyowaeleza ni changamoto nazoziwazia ila moyo wangu upo kwa masai,siku ya maandamano ya chadema ARUSHA nilimpiga ban asiende manake staki hata aguswe na jani la mti.
SALAMA kabisa naishi kwa uhuru wangu hapa A TOWN nchi ilipata uhuru 61, mashaka ya ni nini?marytina bibie habari za mida hii tena!
My dear Marytina,usiwe mkali na mimi,i simply want the best for you!!!
Kuna mambo mengine wala hayakuhusu tulikuwa tunaongea tu kuchangamsha jukwaa ulipokuwa haupo mama
Popote utakapoamua kwenda,sina neno,ila nimekupa ushauri toka ndani ya moyo wangu.
mmmh, haya bana,
huu ujasiri mwingine unataka moyo!!!
haya ingia kwa PM basi!!!!
babu kisukari hakiponi lazma nkuzike mwaka huuukiskia mcharukio ndo wewe:frusty:
bado unampa shule marytina tu?
Humuoni simba hapo wewe,we ingia,mi ntakuja baadaye,hujui we kwenye list ni namba nne,niko na namba tatu hapa???
oooh, pole mama,
nilikuwa sijaona!
Huu ujasiri mwingine unaweza kufa bure!!!!!
kijana usalama wa taifa wote wana report kwangu we shauri yako....stay outta trouble
kijana usalama wa taifa wote wana report kwangu we shauri yako....stay outta trouble
nimepooza yaan kama kuna wakaka wa ajab basi ni HASHYCOOL na THE FINEST, sijui nyumbani wanawachukuliaje dadazao kwa namna wanavyokandia wadada.Naplilia baraka zangu kwa mola kwa kumshauri lililo jema.....
Nakaribia kumaliza,naona sasa anajibu yale ya jana,ndo nasubiri.