The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
taratibu binti hawa ndo wanatulea humu.
tatiana mdogo wako huyo hebu ongea nae mpe ushauri kutoka kwa dada zake kama nyie
taratibu binti hawa ndo wanatulea humu.
pesa kidogo lazma hamna zerozero mtoto akiugua itakuwaje, bodi ya mikopo ikigoma atasomaje university au unajisemea tu.
Wewe ni Mdada mbona hamuelewi?????????????
ila mama yangu mchagga ntamchanage kuwa nataka kuwa na masai
wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .
hivi wakaka hamuelewi, kwa nini kuchabo hii thread ya wadada. UMEISHIWA HOJA UNATUKANA.wachagga wanamwaga pesa ile mbaya sema dada yako hawajulii, I LIKE THEM ILA WANANIKWAZA KWA MIPOMBE YAOmimi shoga shosti!
Wewe mkubali tu huyo mmasai. Wachaga vibamia na pesa zao, masai na mtarimbo wake, inchi 6 na kuendelea.
Anarudi kwa masai, na anakuta masai kashakula kona!Bigie nawe..ushaonja kidogo nini?Hehehe!Hapo tatizo lipo kwa mwanamke anaetaka kuolewa na mwanaume kwa vile tu ana pesa hata kama hampendi!Mwanaume anaweza kua anampenda kweli bila kujua mwenzake anataka kumATM tu!Zikiisha unadhani huyo mwanamke atafanyaje?
mimi shoga shosti!
Wewe mkubali tu huyo mmasai. Wachaga vibamia na pesa zao, masai na mtarimbo wake, inchi 6 na kuendelea.
Tu parles comme une pute?
wewe ndugu yangu sikia nikwambie mapenzi siyo pesa, angali mtu anayekuja, unaweza angalia pesa na usiwe na furaha katika ndoa yako, acha kabisa hiyo tabia, na kwa ushauri mwombe sana Mungu akupe mume mwema, kwani yaweza kuwa kati yao hakuna hata mmoja aliye wakwako,,, kaa na Mungu vizuri maana ndoa siyo mchezo kama unavyoitaja weee!Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi...
are you sensing something LD? hebu pekua ma-file.Nani kwa kuambia Bigirita ni mwanaume, nina wasi wasi...........................
WAMAMA WOTE WANATAMANI MABINTI tuolewe kwao, kaa kimya kama ni mkaka.HAPA ARUSHA wadada tunataman sana chagga for ndoa, ila huyu MASAI ana hekima za kizidiWatu kama wewe mnasababisha zile fikra potofu juu ya waChagga!Kwani aliwahi kukwambia waMassai sio watu?
Anarudi kwa masai, na anakuta masai kashakula kona!
Orait, kwa hiyo, aendekwa masai, halafu ATM ziwe marangu?
Au aende kwenye ATM halafu tamu apate kwa Masai?
Naomba ufafanuzi.
Siku nyingi sana nilikuwa natafuta fataki wa kike, nashukuru leo nimempata, ngoja nikaharakishe kuchukua zawadi yangu... sorry, nilikuwa napiga chabo tu ngoja niondoke kabla hamjanikuta wenyewe
pesa kidogo lazma hamna zerozero mtoto akiugua itakuwaje, bodi ya mikopo ikigoma atasomaje university au unajisemea tu.
Unataka tu niongee wewe!!Aende kwa mMassai alafu watafute pamoja!Kua tegemezi kumepitwa na wakati!Anarudi kwa masai, na anakuta masai kashakula kona!
Orait, kwa hiyo, aendekwa masai, halafu ATM ziwe marangu?
Au aende kwenye ATM halafu tamu apate kwa Masai?
Naomba ufafanuzi.