wajomba zako wamarangu hawakukwambia kwamba baba mkwe is as bad as mashemeji?
Kazi kwake Hashy,akiniachia baba mkwe,pale thijui mimi:A S 39::A S 39::smile-big:
ooohoooo
ohhhhhhhhoooooooo,umeona tatizo chalii yangu???? usiniache kule aisee!!!
mama mkwe analitambua hilo hivyo hatamuachia naamini
hahah! ulivyo na uhakika........Unaongea na Professional hapa. shauri yako.
money cant buy love,!!
tafadhali lizzy hujanielewa naposema ninamahusiano na wakaka katika levo tofauti,kuna wakumpungia,wa kupeana mikono,busu mmoja,wakumtoa chunusi kifuani,na mabusu kumi na wakumaliza vyote. sio kwamba wanapa same treatment.Kwanza kabisa sifagilii watu wanaopanga wenzao mstari!So unfair maana wenyewe unaweza kuta wamefika kumbe wako kwenye majaribio!!Ushauri..pesa zinaisha kwahiyo ukizitumia kama kigezo cha kuolewa baadae mambo yakaenda ndivyo sivyo ndo mwanzo wakutengana kwasababu hutokua na mapenzi ya kweli!Kama unampenda Mmassai yeye ndo anakufaa!Kama ni pesa mtatafuta pamoja!
tafadhali lizzy hujanielewa naposema ninamahusiano na wakaka katika levo tofauti,kuna wakumpungia,wa kupeana mikono,busu mmoja,wakumtoa chunusi kifuani,na mabusu kumi na wakumaliza vyote. sio kwamba wanapa same treatment.
ndo maana nkasema wakaka hamuhusiki in this thread, mnapenda sana kutupotosha.wakubali wote.
pesa muhimu unadhan huyo uliyenaye angekuwa mtoto wa mbwa ungemkubali?Kwa nini umekuja kuomba ushauri sasa??
samahani dada, wewe chalii uliyenayemichelle msome vizuri huyu whatever yuko ki golddigger zaidi
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
wewe huna shida na pesa,mod tuwekee jukwaa la wadada only tupeane changamoto.Mimi si nimemwambia aseme moja tu kuwa ana shida na pesa
wewe huna shida na pesa,mod tuwekee jukwaa la wadada only tupeane changamoto.
Marytina...............yaani mimi nakuona ndito kumbe kuna wachagga wanaku-nani hiii **** alafu unanidanganya.........., pea si karatasi tuu mbona nakupaga yaani kumbe hutosheki na raha yote nnayo kupa kukupandisha kwenye magri ya tours ...aaah ero ntaua mtu:frusty:
wewe huna shida na pesa,mod tuwekee jukwaa la wadada only tupeane changamoto.