miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Wanamwaga mkojo mzito
Last edited by a moderator:
Nijaribu tuone maneno mengi ya nn?
Unahela?
kwa uzoef wangu mdg ni kuwa mwanaume wa kuoa huwez kumjua huwa anakuja tu pasipokutegemea' namshukuru cna Mungu sijiangaishi na wanaume hata angekuwa ana nin yan no shobo'akipenda anioe ts fine akiona vp ale kona tu cha muhm kwangu kazi yang tu
napata picha asee duh!!!!!
Natumai mu wazima wote.
Kwenu dada zangu na wadogo zangu;Jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.
Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.
Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.
Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.
Bravo...!! Umetisha mbayaaaa....unatumia kinywaji gani best?
kwa uzoef wangu mdg ni kuwa mwanaume wa kuoa huwez kumjua huwa anakuja tu pasipokutegemea' namshukuru cna Mungu sijiangaishi na wanaume hata angekuwa ana nin yan no shobo'akipenda anioe ts fine akiona vp ale kona tu cha muhm kwangu kazi yang tu
Wanaume wenyewe lege lege wanajua kusimamisha bao moja nakujiona vidume ... kutafuta hela hawawezi
hata wanaumeeeeeeeeeee tambueni pia
Naomba ufute kauli yako... vngnevyo prove hapa kwamba ushatoka na wanaume wote nikiwemo mm
Za kutosha kukuhudumia, ila si za kukununua na kununua tukio zima la kibaba na mama
sifuti na proove nishatembea na wote ukiwemo wewe najua utabisha lakini tayari
Wewe ni askari mdomo.... ila kimatendo haupo kama maneno yako i can see that....
Dah!! inaonyesha jinsi gani ulivyowachokachukua sabuni paka povu mkononi anza kusugua dushe lako utaona ni kilo ngapi