Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Mbona unajishtukia?
Nijistukie kwa lipi?
Mbona unajishtukia?
Nijistukie kwa lipi?
kutegesha mimba ni ujinga
Haswaaa haswa kwa karne hii, kwa waume wapi basi'
Lakin si ulifurahia rungu na mtt umepata
Labda siyo wa kilimanjaro sasa nyie katafuteni vijanaume vyenu pwani afu mropoke ropoke. Nchi ya kilimanjaro haina mwanaume lege legeWanaume wenyewe lege lege wanajua kusimamisha bao moja nakujiona vidume ... kutafuta hela hawawezi
Wanaume wenyewe lege lege wanajua kusimamisha bao moja nakujiona vidume ... kutafuta hela hawawezi
weeeeee ukiwambia ishu ya hela hapo hapatoshi ila wambie kugegedana hapo watakavosherekeaWanaume wenyewe lege lege wanajua kusimamisha bao moja nakujiona vidume ... kutafuta hela hawawezi
Wanawake wote tambueni sio kila relationship lazima iishie kwene ndoa.... zingne tunasindikizana ukubwani tu
Labda siyo wa kilimanjaro sasa nyie katafuteni vijanaume vyenu pwani afu mropoke ropoke. Nchi ya kilimanjaro haina mwanaume lege lege
weeeeee ukiwambia ishu ya hela hapo hapatoshi ila wambie kugegedana hapo watakavosherekea
Waume suruali hao Miss chagga. maneno meeengi!
Natumai mu wazima wote.
Kwenu dada zangu na wadogo zangu;Jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.
Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.
Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.
Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.
ha ha ha ha na kweli alalfu wanamwaga ndani matokeo yakitokea wanakimbia mfyuuuu
kutegesha mimba ni ujinga
tena ukiwambia kuvaa ndom mnaeza gombana.....sasa wambie naskia kichefchef au tumbo linaiuma kwa hapa.. sikuhiz sijisikii kula maharage wanavotoa mimachoo...
ha h ahaha tena wa huko pia ni shida now days walikuwa zamani sa hivi mmmh