Kwa wadada ambao hawajaolewa

Kwa wadada ambao hawajaolewa

Tumekusikia. But na nyie wanaume kama huna mpango na Mtu muache tu. Unalala na binti wa watu while unajua huna future naye what for? Wengine hawajielewi ndo atakutegeshea mimba akidhani ndo hutamuacha, kumbe ataachwa tu na Mwisho wa siku mtoto ndo anayekuja kuteseka. Huna future na Mtu, then be a gentleman, dont sleep with her, si hutaki mimba na Mtu usiye na future naye???
Ndiyo maana watu hawaishi machungu , km kila uhusiano mnataka uzae future......
Aiseeeeh!!!!! Duh!
 
Ndiyo maana watu hawaishi machungu , km kila uhusiano mnataka uzae future......
Aiseeeeh!!!!! Duh!

Sio kila uhusiano unazaa future. But sidhani kama kuna mtu anayependa apoteze muda wake na uhusiano ambao kwa dalili zote anajua that we are going nowhere. Me hata nikupendeje, nikishaona tu mmmh hapa hapasomeki, basi najikaza tu nakwambia bwana wewe let's quit it.
So far sio kwamba naanzisha tu uhusiano na mtu nikijiaminisha kuwa huyu ndo mume wangu, hapana. Naanzisha uhusiano naa mtu ninayeona mmh huyu hata ikijakutokea kawa mume wangu, nitakuwa naye vizuri tu. Future inatengenezwa na jinsi mtakavyoweza kuishi pamoja through uhusiano wenu hadi mtu afike bei atake muoane.

Nachokataa mimi ni mtu anajijua hana mpango na mimi, unifunue weeeee afu mwisho wa siku unitupe kama zigo la taka, hapo sitaki Haki ya Mungu. Me nijie tu bana Heaven eeeh me nimekutamani and I wish we cud be friends with benefit. Nikikubali sawa na nikikataa sawa pia. But mwisho wa siku sitolia wala sitojuta kuwa fulani kanipotezea muda wangu au kanilaghai. Tafuta msuguliwa rungu mkubaliane, mbona wapo wengi tu, why me?
 
hivi unafikir mm nikikufuata kuwa nataka nikugegede halafuu nitembee zangu hiv utanikubali?

Na kawaida ya mwanamke ukimwambia ukweli hakubali sijui kwann mmekuwa hvyo

Mbona wapo wanawake wengi tu, anakupa free tu na mwisho wa siku hata hakugandi, kawatafute tu. Huna future na mimi, si uende sasa ukamtafute huyo unayeona una future naye? Tudanganyeni tu but tukiwategeshea hizo mimba msilie lie tu.
 
Ushauri wa maana kweli,

naomba ufafanue vzr kwenye kutumia kinga

kama huyo mwanaume hawez kuvumilia hata unapokua kwenye siku zako za hatar use condom na mueleze kua upo kwny siku zako za hatar ili nae awe mwangalifu
 
Tumekusikia. But na nyie wanaume kama huna mpango na Mtu muache tu. Unalala na binti wa watu while unajua huna future naye what for? Wengine hawajielewi ndo atakutegeshea mimba akidhani ndo hutamuacha, kumbe ataachwa tu na Mwisho wa siku mtoto ndo anayekuja kuteseka. Huna future na Mtu, then be a gentleman, dont sleep with her, si hutaki mimba na Mtu usiye na future naye???

Mwanzoni nlikuwa na malengo nae bt baada kutest naona mzigo haupo kama nlivodhan... so lazima nkimbie
 
Wanawake wote tambueni sio kila relationship lazima iishie kwene ndoa.... zingne tunasindikizana ukubwani tu
 
Nawewe kama hutaki mimba tumia condom.........tena vaa double

natumai mu wazima wote.

Kwenu dada zangu na wadogo zangu;jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.

Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.

Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.

Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.
 
Tumia family plan wewe mwanaume...kafunge uzazi....
Wanawake wanawake...nyie kujicontrol hamtaki

wanawake wote tambueni sio kila relationship lazima iishie kwene ndoa.... Zingne tunasindikizana ukubwani tu
 
BASI KM hutaki future nae..mwambie mapema...HAKUNA KITU KIBAYA KAMA KUPOTEZEWA MUDA WAKO....bora waendelee kuwategeshea hivyo hivyo...Mnatabia mbayaaaa nyie wasafisha rungu

Natumai mu wazima wote.

Kwenu dada zangu na wadogo zangu;Jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.

Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.

Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.

Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.
 
umenitonesha kidonda .kuna mwanaume aliosha rungu lake kwangu nkapata mimba
.mtoto alipofikisha miezi miwili tu akafunga ndoa na mtu mwingine....

Pole mwaya...Mungu niepushe
 
Tumekusikia. But na nyie wanaume kama huna mpango na Mtu muache tu. Unalala na binti wa watu while unajua huna future naye what for? Wengine hawajielewi ndo atakutegeshea mimba akidhani ndo hutamuacha, kumbe ataachwa tu na Mwisho wa siku mtoto ndo anayekuja kuteseka. Huna future na Mtu, then be a gentleman, dont sleep with her, si hutaki mimba na Mtu usiye na future naye???

me nazani sisi wanawake wenyewe ndo tunatakiwa kuwa responsible na hilo kama hutaki kuchezewa ni heri mtu anapokufata anataka mahusiano kuuliza mapema nini hasa anataka akianza zile lugha zao za time will tell basi na wewe unamwambia wakati tunasubiri time iseme no kugegedana, lakini tatizo linakuja kwetu wenyewe unakuta msichana kaanza mahusiano lakini ndani ya mwezi kashalala kwa huyo mwanaume zaidi ya mara 5 manake kila wkend yuko huko na nguo kashahamishia kha
 
Back
Top Bottom