Kwa wadada ambao hawajaolewa

Kwa wadada ambao hawajaolewa

Lakini kutegesha kumewasaidia wengi sana,ndio maana % kubwa wanaolewa na mimba,Wadada msichoke kucheza pata potea ndio komesha ya wanaume wachache wasio taka damu yao ikateseka.
 
yaani wanakua wapole kweli..mwingine kama alikua hana mpango wa kukuoa utamuona anakonda kabisaaaa ....halafu sikuhizi kuoa mpaka akupachike mimba eti hawajiamini kabisa yani....OGOPA SANA KUWEKWA NDANI KISA MIMBA....ni kama umeolewa ACCIDENTALLY ....

Mimi ndiyo huo mchezo siufanyi kabisa
 
yaani badala ya kusikitika nimejikuta nacheka iyo kauli yako eti aliosha rungu lake hahahahaah pole

ndo hivo .aliosha likatakata akajipima kama ana uwezo wa kuzalisha akajiona anao.akaoa me nalea kichanga yeye yuko fungate.....
 
ndo hivo .aliosha likatakata akajipima kama ana uwezo wa kuzalisha akajiona anao.akaoa me nalea kichanga yeye yuko fungate.....

Dah, kuna watu ni wakatili...
Thank God hii tabia ya kutongoza ''bila sababu'' nimeacha mda sana...it's so sad..!
..Pole, stay strong!!
 
Tumekusikia. But na nyie wanaume kama huna mpango na Mtu muache tu. Unalala na binti wa watu while unajua huna future naye what for? Wengine hawajielewi ndo atakutegeshea mimba akidhani ndo hutamuacha, kumbe ataachwa tu na Mwisho wa siku mtoto ndo anayekuja kuteseka. Huna future na Mtu, then be a gentleman, dont sleep with her, si hutaki mimba na Mtu usiye na future naye???

sio kila uhusiano unaishia kuoana. ina maana na wanafunzi wa primary wanaponjunjana lazima waoane? lazima muelewe kwamba kuna uhusiano wa kusogeza muda.
 
Weweeee.... K ni K tu....roho mbaya tu imewajaa kutaka tu kuchezea feelings za watu

ndio k ni k ila tambua kuna kitu kinaitwa hisia...
Sio kila mwanamke anamvuto kwa mwanaume....

Unajua kuna baadhi ya wanawake ukimuangalia tu muonekano wake tayar unaanza kujenga hisia ya mapenz na kuna mwingne hata akutege vp unamwona kama mwanaume mwenzio..

Nakupa mfano:
mm ndio bf wako naweza kuwa nakugegeda lakn kumbe kichwan mwangu nmejenga picha ya Evelyn Salt ndio inanifanya nisimamishe mpaka nipiz.

Hata kama ni wakupita tu mwanamke mstaarabu ndio analeta raha sana kwenye kipind husika
 
Last edited by a moderator:

Nyooo....hem pisha kule...
 
Last edited by a moderator:
Mbona wapo wanawake wengi tu, anakupa free tu na mwisho wa siku hata hakugandi, kawatafute tu. Huna future na mimi, si uende sasa ukamtafute huyo unayeona una future naye? Tudanganyeni tu but tukiwategeshea hizo mimba msilie lie tu.

tatizo hatuwez kujua kuwa huyu nikimwambia kuwa nmegegede na kumwacha je atakubali?
Ndio maana tunaambua kutumia nyama ya ulimi ili tuwanase
 
Back
Top Bottom