Kwa wadada ambao hawajaolewa

Kwa wadada ambao hawajaolewa

Natumai mu wazima wote.

Kwenu dada zangu na wadogo zangu;Jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.

Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.

Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.

Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.

Kwa hiyo umehalalisha hao warembo wawe waasherati sio ili mradi wasipate mimba.... Kizazi hiki mmmhhh Mungu

aliyeumba Mbingu na Dunia aturehemu
 
Lakini hebu tujiulize sisi tunaojiita "wa kiume", inakuwaje unagegeda mtu qmbae huna mpango nae!? Mtizamo wangu, hadi nifikie maamuzi ya kumfuata dem, kugegedana naye, that means nimeshafanya kautafiti kangu na nimeridhika nae, kwa maana hiyo, hata kama akishika ujauzito sitapata shida. Tatizo vijana mnaojiita wa kileo, ngono tumefanya kama kitu ambacho msipopata mnakufa. Matokeo yake, mnagegea tuuuuu, hata bila kuangalia kama huyo unayemgegeda ni chaguo sahihi au la. Punguzeni kufanya maamuzi kwa kutumia kichwa kidogo........!?
 
Under ur supervision? Who are u?? Tena nampeleka mbali na wewe kabisa usimtie hata machoni

Who am I.....!? si baba wa mtoto wako.....! Mama wengine damu zetu huwa hazipotei, utakimbia mwisho utamrudisha tu. Upo hapo?
 
Kwa hiyo umehalalisha hao warembo wawe waasherati sio ili mradi wasipate mimba.... Kizazi hiki mmmhhh Mungu

aliyeumba Mbingu na Dunia aturehemu

mmmhhh msweet unajua cjahalalisha hiyo tabia lakin kwa ambao tayari wanafanya wawe makin wasiongeze dhambi nyingine ya kutoa mimba na kutupa watoto
 
Sasa na wewe kwa nini unaongea ukweli unaouma kiasi hicho....

inaonesha haupendi sana kuujua ukweli huu?!.
Lakn ndio maana nmesema baadhi ya wanaume.
Hata ww unaweza kuwa unamkojolesha mwanaume mwingne pind awapo na gf wake au mke wake huwez jua
 
Lakini hebu tujiulize sisi tunaojiita "wa kiume", inakuwaje unagegeda mtu qmbae huna mpango nae!? Mtizamo wangu, hadi nifikie maamuzi ya kumfuata dem, kugegedana naye, that means nimeshafanya kautafiti kangu na nimeridhika nae, kwa maana hiyo, hata kama akishika ujauzito sitapata shida. Tatizo vijana mnaojiita wa kileo, ngono tumefanya kama kitu ambacho msipopata mnakufa. Matokeo yake, mnagegea tuuuuu, hata bila kuangalia kama huyo unayemgegeda ni chaguo sahihi au la. Punguzeni kufanya maamuzi kwa kutumia kichwa kidogo........!?

hebu kuwa muwazi inamaana ww hujawahi kugegeda mwanamke tofauti na mkeo?
 
inaonesha haupendi sana kuujua ukweli huu?!.
Lakn ndio maana nmesema baadhi ya wanaume.
Hata ww unaweza kuwa unamkojolesha mwanaume mwingne pind awapo na gf wake au mke wake huwez jua

Ukweli naujua sa mtu anapokuwa anaurudia rudia ndo nakereka....
 
umenitonesha kidonda .kuna mwanaume aliosha rungu lake kwangu nkapata mimba
.mtoto alipofikisha miezi miwili tu akafunga ndoa na mtu mwingine....

dah! pole dada vp lkn mwanao si anamhudumia au alipooa akahama na mji
 
hebu kuwa muwazi inamaana ww hujawahi kugegeda mwanamke tofauti na mkeo?

Kabla ya huyu nilienae, niliwahi kuwa na mtu mara tu baada ya kumaliza chuo na kuanza jazi. Kiukweli, nilikuwa na malengo nae, tatizo likaja wazazi wake walikuwa waislam, wakataka ili niendelee kuwa na binti yao, lazima niwe muislam. Baada ya hapo ni huyu nilienae. Hili ndo huwa linanifanya niogope kuchepukwa, kwa sababu sipendi mtoto wangu akose mapenzi yangu Siku ikitokea nikachepuka, na mchepuko ukashika mimba, ndo yatakuwa mambo ya small house hapo.Na hilo naliogopa sana.
 
Natamanije kuwa smoll hausi yakoo....hem tufanye nchakato unaonekana huna mkono wa birika weyee.....
 
Back
Top Bottom