Kwa wadada ambao hawajaolewa

Kwa wadada ambao hawajaolewa

madhara yapo mengi tu tumia sabuni ya kipande tena jamaa,,,, shower jelly

Mbavu zangu mie .... sasa mkuu miss chagga sabuni ikiingia ndani si itakuwa majanga kuitoa ? pili nikisoam matumizi ta sabunikwenye lebel ya sabuni husika naona kama nitakuwanime kasimisha mutumizi ya sabuni tofauti na lengo la watengenezaji , aau waonaje mkuu miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Natumai mu wazima wote.

Kwenu dada zangu na wadogo zangu;Jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.

Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.

Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.

Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.

Tengua kauli yako hakuna mimba ya bahati mbaya.
 
Umeshaambiwa wanataka kuosha rungu....jitu lina migenye na majukumu halitaki unataka lifanyeje? Wapige nyeto? Aah vibaya hivyo mtoto mzuri waache vijana wale raha....

Bahati mbaya sikuwa kuwa mpurukushani kiasi hicho. Yangu ukibeba lazima uzae na mtoto nachukuwa.
 
kumbe leo, miss_chagga amejificha huku
 
Last edited by a moderator:
Utayasikia yakisema we kwa nini ulikuja ukiwa danger .. hakuna wanaume siku hizi

yaani wanakua wapole kweli..mwingine kama alikua hana mpango wa kukuoa utamuona anakonda kabisaaaa ....halafu sikuhizi kuoa mpaka akupachike mimba eti hawajiamini kabisa yani....OGOPA SANA KUWEKWA NDANI KISA MIMBA....ni kama umeolewa ACCIDENTALLY ....
 
Ewaaaa!!!!mi huwa nasema kama mtu anampango na wewe hawezi kusubiri mimba ndio akuoe,so mimba isiwe sababu kabisa
 
Aiseeee...kwa hiyo unavyoniambia utanioa unanidanganya kumbe...?? Alafu....kama unataka kugegeda tu na kutembea kwa nini umfuate mdada wa watu anayejiheshimu na mwenye malengo ya kujenga familia wakati wapo kibao wanaouza na hawana shida ya ndoa wala kukufuatilia unakaa wapi?

haa! Ww vp kwan kuna mtu anapenda kugegeda walu walu?
Aliyetulia kama ww ndio anatakiwa....
 
Bahati mbaya sikuwa kuwa mpurukushani kiasi hicho. Yangu ukibeba lazima uzae na mtoto nachukuwa.

Nikibeba nini atiii....weeee uchukue mtoto??? Nakanywesha sumu tukose wote. (joking....ni katika kuonyesha tu msisitizo)
 
haa! Ww vp kwan kuna mtu anapenda kugegeda walu walu?
Aliyetulia kama ww ndio anatakiwa....

Weweeee.... K ni K tu....roho mbaya tu imewajaa kutaka tu kuchezea feelings za watu
 
Aaaaaah wanasemaga basi Kama wanataka Kuosha rungu...? Anakukoleza weee na viungo vya zenji, unakuja tu kushangaa picha zake za harusi. Wawe tu wakweli Kuwa wao wanapita, ukitaka kujilipua basi freshiiiii tu

Tatizo mkiambiwa ukweli kuwa tunataka kuosha rungu mnabana
 
Mbavu zangu mie .... sasa mkuu miss chagga sabuni ikiingia ndani si itakuwa majanga kuitoa ? pili nikisoam matumizi ta sabunikwenye lebel ya sabuni husika naona kama nitakuwanime kasimisha mutumizi ya sabuni tofauti na lengo la watengenezaji , aau waonaje mkuu miss chagga

Kupindisha matumizi ni ubunifu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom