Chungu cha bibi
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 525
- 166
Tege Utegwe..Ila Na Hako ka Mchezo kamewasaidiaa wengi me nahisi kama kucheza kamari..
Nawewe kama hutaki mimba tumia condom.........tena vaa double
Tumekusikia. But na nyie wanaume kama huna mpango na Mtu muache tu. Unalala na binti wa watu while unajua huna future naye what for? Wengine hawajielewi ndo atakutegeshea mimba akidhani ndo hutamuacha, kumbe ataachwa tu na Mwisho wa siku mtoto ndo anayekuja kuteseka. Huna future na Mtu, then be a gentleman, dont sleep with her, si hutaki mimba na Mtu usiye na future naye???
umenitonesha kidonda .kuna mwanaume aliosha rungu lake kwangu nkapata mimba
.mtoto alipofikisha miezi miwili tu akafunga ndoa na mtu mwingine....
hahahahhahahaa hujatulia wewe
Ndiyooooo. Sema tu ikawa ndivyo sivyo. Tumeshindwana basi kiroho safi tu, tukaachana.Watu wote uliolala nao ulikuwa na mipango nao ya future?
Mwanzoni nlikuwa na malengo nae bt baada kutest naona mzigo haupo kama nlivodhan... so lazima nkimbie
Watu wote uliolala nao ulikuwa na mipango nao ya future?
Kama umeona matarajio ni tofauti na hali halisi kwa nini usiondoke mapema? Unamganda mtu miaka miwili bado unatest tuu...????? Acheni roho za kinyama
me nazani sisi wanawake wenyewe ndo tunatakiwa kuwa responsible na hilo kama hutaki kuchezewa ni heri mtu anapokufata anataka mahusiano kuuliza mapema nini hasa anataka akianza zile lugha zao za time will tell basi na wewe unamwambia wakati tunasubiri time iseme no kugegedana, lakini tatizo linakuja kwetu wenyewe unakuta msichana kaanza mahusiano lakini ndani ya mwezi kashalala kwa huyo mwanaume zaidi ya mara 5 manake kila wkend yuko huko na nguo kashahamishia kha
Ndiyooooo. Sema tu ikawa ndivyo sivyo. Tumeshindwana basi kiroho safi tu, tukaachana.
Ofcourse matarajio yanakuwa ndo hayo....
Ndo mapenz yalivo sio unyama.... tabia ya mtu unaweza kuja ijua hata baada ya miaka 10.
Hayo matarajio mnajiwekeaga tu
Umesema baada ya 'kutest mzigo'.....
Natumai mu wazima wote.
Kwenu dada zangu na wadogo zangu;Jamani wadada tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi, tabia ya kutegea mimba wanaume itatusababishia kuongeza watoto wasiojua baba zao,utoaji wa mimba na kutupa watoto nchini.
Sikatai kuna bahati mbaya ila wengine wanatega makusudi.
Sio kila mwanaume uliepo nae ana mpango wa kukuoa wengine ni wasafisha rungu tuu yaani "wanapita tuu.
Hakikisha unaujua mwili wako"siku zako za hatari" na tumia kinga kila wakati.
Nimejibu swali lako ulilouliza sasa
yaani badala ya kusikitika nimejikuta nacheka iyo kauli yako eti aliosha rungu lake hahahahaah poleumenitonesha kidonda .kuna mwanaume aliosha rungu lake kwangu nkapata mimba
.mtoto alipofikisha miezi miwili tu akafunga ndoa na mtu mwingine....