Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,036
- 4,625
Hilo ni ombi la Kila hater wa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Tunawajua na tumezoea maombi yenu haya mnayooomba Kila siku alfajiri, asubuhi, mchana, adhuhuri, alasiri, jioni, magharibi, usiku Hadi usiku wa manane. Kukubaliwa au kukataliwa ombi lenu ni juu ya Mungu mwenyewe lakini sisi wazalendo wa kweli wa nchi hii tutaendelea kumuombea mema na kuliombea mema taifa hili.Kwa tunaojua mambo ya kiroho mama akili yake haikuwa sawa,na hata waliomsikiliza wenye akili ambao ni Viongozi wake wa Serikali wameumia na hotuba ya mama
Kitakachotokea amezidi kuzifupisha siku zake yeye mwenyewe za kukaa madarakani,kiuhalisia hesabu bado zinakataa mama hatotoboa hata miaka 2 kwake ni Mingi sana naomba siku moja muukumbuke huu uzi