XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,293
- 6,957
Hivi kwenye somo kama la chemistry ambapo kumejaa equations to solve, au physics ambayo Iko full of calculations .. kingereza cha nini sasa hapo .. ukilinganisha na masomo mengine kama history ambapo unaandika tu mwanzo mwisho ..??Kiswahili kimefanywa kuwa kigumu . Sayansi ikifundishwa kwa kiswahili ni rahisi zaidi ikumbukwe sayansi ni nature no imagination ila kiswahili mfano fasihi ni mambo ya dhahania zaidi na watu kiswahili wanafeli kwenye fasihi sio sarufi. Fasihi kwakweli ni ngumu sana na baraza la mitihani wameivuruga kabisa