Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,396
- 4,740
Kumekuwa na wimbi la motivational speakers kwenye social network mbalimbali hasa YouTube na Tiktok.
Hao jamaa wengine wanajiita life coach, wengine mentors na hata guru. Ukiwasikiliza stori zao za mafanikio nyingine haziendani na maisha ya jamii tunazoishi.
Unakuta mtu anasikiliza au kuangalia video masaa hata matatu anatoka hapo yupo moto kwelikweli kwamba anaenda kufanyia kazi. Baada ya masaa wawili mbele amesahau kila kitu unamkuta baa na masela zake walewale wanabishana Simba na Yanga au Diamond na Konde Gang.
Hebu tukutane hapa tunaowapuuza motivational speakers tena wale wanaoshusha nondo na madini ya maana ambayo ukiyafuata lazima utoboe