Kwa tuliopata ziro(0) form four hebu tukutane hapa

Vipi tulio pigwa Home na Away?
Si shule, si kitaa ni mwendo wa kutembelea rimu....
Na ukileta utani Ukifa pipa nalo linakuhusu, ukitoka hapo Zombie..

Endelea kuzingua maisha, ukizani kuna Ups and Downs zitatokea aliyeyapatia atashuka wewe utapanda, hahaaaa never, Maisha hayahitaji huruma wala unyonge,

Hakuna cha mchumia juani wala kivulini, Maana Maskini tunapenda sana Kuishi kwa kuamini misemo ya kihenga ili itufariji hata kama upo hivyo kwa kuzingua mwenyewe.
 
Tuliopata ziro "Wenye Masters wanatuonea wivu kitaa tuna michongo tumetoboa, wenye Masters wanachomekea tu na kuchana nywele"

Wenye Masters "Waliopata zero wanatuonea wivu kwa elimu tuliyonayo wao hawana"

Maisha hayaeleweki yanahitaji elimu au yanahitaji juhudi.
 
Mimi nilipata zero form four baba yangu akaniambia rudia form two ila nakupeleka international school nikashindwa kukataa ila nilipata four ya mwisho kabisa inakaribia na zero!
 
Back
Top Bottom