Kwa tuliopata ziro(0) form four hebu tukutane hapa

Sometime hata elim pia inategemea pesa Kuna watu wenye uwezo mdogo darasan ila wazaz wao walikua wanapesa na ikawasaidia kufikia elim za juu na Kuna ambao wana uwezo darasan ila kutokana na wazaz kutojiweza wakashndwa kufkia elim za juu
Darasan wapo 114 na shule ina walimu 7 wanafunzi 500 hapa hata ukiwa na uwez darasan unaweza kujikuta hufiki sehem ndo pale anapoamua zile akili azihamishie mtaani mwsho anatoboa na anajiendeleza kielimu mwenyewe
Shule zetu bana . Nimesoma shule o level duuuh hali ilikua mbaya tunaingia pale form one mwalimu wa fizikia na hesabu alikuwa ni mmoja tu form one hadi four daah ndoto za kuwa daktari ndo zikaanza kuyeyuka hapohapo,mwalimu wa kemia alikua mmoja pia daah na shule ina wanafunzi karibu Mia tano na usheee, bullshit! school mates kibao wakaanza kuacha mmojammoja ,Yani hadi kufika advance ulikua muujiza tu hakyanani, nikajua kumbe watu wana ndoto nzuri lakini mazingira yanakwamisha...
 
Back
Top Bottom