Kwa tuliopata ziro(0) form four hebu tukutane hapa

Kiswahili kimefanywa kuwa kigumu . Sayansi ikifundishwa kwa kiswahili ni rahisi zaidi ikumbukwe sayansi ni nature no imagination ila kiswahili mfano fasihi ni mambo ya dhahania zaidi na watu kiswahili wanafeli kwenye fasihi sio sarufi. Fasihi kwakweli ni ngumu sana na baraza la mitihani wameivuruga kabisa
Hivi kwenye somo kama la chemistry ambapo kumejaa equations to solve, au physics ambayo Iko full of calculations .. kingereza cha nini sasa hapo .. ukilinganisha na masomo mengine kama history ambapo unaandika tu mwanzo mwisho ..??
 
Kiswahili kigumu maana hata hatuongei lugha fasaha.
Fikiria glass, box, peni, stapler ni maneno ya kingereza tunatumia kama kiswahil
Inawezskana mi mazoea tuu ya kutumia lugha ya kiswahili ni rahisi sema hatutaki kukitumia. Mfano barakoa sidhani ulikua unaujua huu msamiati mpaka ilipokuja corona. Lugha na msamiati ni matumizi yake mfano mwengine ni mubashara zamani watu walikua wanasema Live tuu
 
Haya ukiondoa hayo maneno trending. Box kwa kiswahili ni nini au stapler.
 
Hivi kwenye somo kama la chemistry ambapo kumejaa equations to solve, au physics ambayo Iko full of calculations .. kingereza cha nini sasa hapo .. ukilinganisha na masomo mengine kama history ambapo unaandika tu mwanzo mwisho ..??
Sasa hizp calculation utazielewaje kama zimeelezewa kwa kingereza mtu vocuburary huna utaelewaje maana ya equlibrium au swali linavyoulizwa kwa kukuchanganya . Mtu yupo darasani mwalimu anafundisha kwa kingereza na haelewi kingereza hata kama ni calculation atafeli tuu
 
Zero oyeee..na shule ikaishia hapohapo fom fooo.
Vile tuliopata zero tunafurahi kuona uzi wetu
Tunajimwayamwaya tu
giphy.gif
 
Haya ukiondoa hayo maneno trending. Box kwa kiswahili ni nini au stapler.
Box si kasha au boksi . Maneno mengi ya kisayansi yapo kwenye kiswahili ni vile hatujazoea kuyatumia ndio maana tunaona ya ajabu mbona wafaransa wanatumia lugha yao na nitofauti na kizungu au waarabu wanatumia lugha yao na tofauti na kizungu kufundisha sayansi
 
Sasa hizp calculation utazielewaje kama zimeelezewa kwa kingereza mtu vocuburary huna utaelewaje maana ya equlibrium au swali linavyoulizwa kwa kukuchanganya . Mtu yupo darasani mwalimu anafundisha kwa kingereza na haelewi kingereza hata kama ni calculation atafeli tuu
Hivi we jamaa ni English ipi unayoongelea wewe, hivi mtu anayejaza answer booklets 2 za history ashindwe kuelewa swali tu .. inaingia akilini kweli ..

Calculation ni calculation tu hata iwe kwa Kiswahili kama hujui kusolve utafeli tu ..
 
Hivi we jamaa ni English ipi unayoongelea wewe, hivi mtu anayejaza answer booklets 2 za history ashindwe kuelewa swali tu .. inaingia akilini kweli ..
Hata huko wanakoongea kingereza na masomo yote kwa lugha hiyo hawafeli? Tena unakuta hata English yenyewe mtoto anapata zero
 
Huyu jamaa anatia shaka kwa kweli .. au inamaana wazungu wao hawafeli masomo ya science ..
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom