Kwa tuliopata ziro(0) form four hebu tukutane hapa

Sometime hata elim pia inategemea pesa Kuna watu wenye uwezo mdogo darasan ila wazaz wao walikua wanapesa na ikawasaidia kufikia elim za juu na Kuna ambao wana uwezo darasan ila kutokana na wazaz kutojiweza wakashndwa kufkia elim za juu
Darasan wapo 114 na shule ina walimu 7 wanafunzi 500 hapa hata ukiwa na uwez darasan unaweza kujikuta hufiki sehem ndo pale anapoamua zile akili azihamishie mtaani mwsho anatoboa na anajiendeleza kielimu mwenyewe
 
Tuliopata ziro "Wenye Masters wanatuonea wivu kitaa tuna michongo tumetoboa, wenye Masters wanachomekea tu na kuchana nywele"

Wenye Masters "Waliopata zero wanatuonea wivu kwa elimu tuliyonayo wao hawana"

Maisha hayaeleweki yanahitaji elimu au yanahitaji juhudi.
Unaweza kuwaaminisha wajinga wenzio kuwa kufanikiwa kwako ni matokeo ya kupata zero. Bila hata ya utafiti, waliosoma na kufanikiwa ni wengi kuliko walio fanikiwa huku wana vyeti vya zero. Mama lishe mwenye degree moja au mbili huwezi mlinganisha na mwenye cheti cha zero. Usiwadaganye vijana.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuwaaminisha wajinga wenzio kuwa kufanikiwa kwako ni matokeo ya kupata zero. Bila hata ya utafiti, waliosoma na kufanikiwa ni wengi kuliko walio fanikiwa huku wana vyeti vya zero. Mama lishe mwenye degree moja au mbili huwezi mlinganisha na mwenye cheti cha zero. Usiwadaganye vijana.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mafanikio kwa tafsiri ya hapa Tz ni nini?

Waliosoma wakafanikiwa wapo wengi ni kweli kwa sababu elimu haina lengo la kuandaa zero na hata waliopata zero sio kwamba walikua na malengo ya zero, ila hapa wameitwa waliopata zero wakawa miongoni mwa waliofanikiwa pamoja na hao waliosoma.
 
umejua kunikosha mkuu, enzi zile nikiulizwa una wastani gani basi naishia kusema matokeo sio mazuri.... basi wenzangu wataanza kuambizana mambo ya chuo/advance na bra bra kibao, ajabu sahizi tuko nao kitaa na hamna kitu wame pata kule!!
 
kuna watu kibao wana masters polisi mkuu siku hizi wamekua modern sana

Masters za kuunga wakiwa tayari kazini, polisi wengi kama sio wote ni division IV kisha wanaunga unga…. so hakuna the so called kichwa.
 
Huu uzi unaletewa mzaha lakini ungekuws serious unaweza kusaidia watu.

Wengi wanapata 0 form IV au VI halafu wanachizi kabisa, wengine mpaka wanakunywa sumu. Kwa waliowahi kupata 0, share experience.

Mimi nitashare ya mwalimu wangu chuo

Alipiga 3 akiwa form 4, form Six akapiga 0. Anakwambia home kulikuwa kubaya kuliko maelezo. Bahati nzuri kuna ndugu yake alikuwa chuo, akamwambia njoo ufanye certificate ya IT. Na jamaa alikuwa interest na computers. Akatoboa vizuri certificate, akaenda Diploma akapiga vizuri. Akaanza Degree ya Computer Science, jamaa aliongoza course nzima. Chuo kikampeleka Finland kufanya masters na ajira akapata. Leo ni Networking guru, PHD, na mwalimu mzuri sana.
Duh!!!,Kuna somo zuri sana hapo.
 
Imashangaza mtu anajivunia zero humu, inasikitisha sana huyu kijana hataona umuhimu wa kumsomesha mtoto wake
 
Form nilipata div I ya pts 8, Form I ya pts 6. Chuo nilidisco mwaka wa kwanza....Tuliodisco chuo kikuu tuna nafasi pia. Tukutane tuyajenge!
 
Back
Top Bottom