thatHUMBLEguy
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 224
- 522
ok.Mimi si mfanyakazi, sitaweza kulijibia hili. Nilikua nachip-in kwenye hoja yake.
ok.Mimi si mfanyakazi, sitaweza kulijibia hili. Nilikua nachip-in kwenye hoja yake.
Miradi ya BBT ya Waziri Bashe mpaka leo ni kizungumkuti.Wakiombwa wajenge scheme ya mashamba kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji,watajivuta sanaaa
Ohh pesa hakuna blah blah kibao
Ila kujenga uwanja sjui arena ilii vijana wakate mauno ni chap chap
Ova
Mkuu una point ila uwanja si kipimo kizuri, sababu kuna varieties nyingi sana, uwanja wa Arsenal unaingia watu 60,000 ila ni wa kisasa na gharama kubwa kushinda wa Manchesta wenye watu 74,000. Wingi wa mashabiki si kipimo cha gharama za uwanja.Ni zaidi ya miaka 15 ishapita tangu uwanja wa Mkapa ujengwe lakini tofauti ni kubwa sana mbali na kwamba Uwanja wa Samia ni nusu ya Uwanja wa Mkapa
Hii inaonesha na ni ushahidi piq kuwa mambo mengi yamebadilika na gharama za maisha zimepanda pia hivyo kuna haja ya watumishi kuangaliwa maslahi yao pia
Ingawa pia inawezekana ubora wa uwanja wa Samia uko juu zaidi lakini si kwa Tofauti hii ni lazima gharama za maisha zimebadilika au kuna harufu ya upigaji .View attachment 2941817
Jamaa wapo kupiga haswaHapa upigaji umekuwa mkubwa kupitiliza.
Rostam, Makamba, Abdul na JK ndiyo wanajua kinachoendeleaMimi naamini ukiwambia taasisi kama azamu wajenge uwanja wao kama huu hawawezi kuzidi billion 120.hapo zaidi ya b 100 tumepigwa na kitu kizito.
Africa kwa ujumla ni kugumu sanaWatumishi wengi wa umma kwa sasa wnaishi kama watoto yatima wasio na baba wala mama. Maana serikali na vyama vyao vya wafanyakazi, lao ni moja!
Wakandarasi toka china ndio mabingwa wa kutoa 10% kwa vigogo. Na mchina anaweza kutoa hata 30% kabisa inaishia kwa vigogo 🤣🤣🤣🤣🤣. Cag akikagua hawezi kupata ushahidi. Maana hela imelipwa kwa mkandarasi 🤣🤣🤣 kama certificate ya malipo ya kazi 🤣. Tenda ndio njia rahisi kupiga hela 🤣Ngoja waje watathmini waje wapige mchanganuo wao,watakuambia kiwanja hicho kitakuwa zaidi ya OT au bernebeu hapo madrid 😄
WatKuambia kiwanja hicho ndicho kitakuwa bora na namba moja duniani 😄
Ova
Ndio maana anasema ikiwa kila kitu kimepanda bei, basi maslahi ya wafanyakazi yaangaliwe upya!
Point ni umepanda kwa uwiano unatakiwa ?mkuu kwani mshahara wa 2007 na wasasa ni sawa?
Kwa kutumia analysis hiyohiyo,,je mishahara ya wafa yakazi iliongezeka Kwa the same rate kutoka kipindi cha mkapa Hadi Sasa?Wengi wanaolalamikia gharama za huu uwanja wanatumia hisia kuliko factual analysis. 15 years ni muda mrefu kwa teknolojia, standard za uwanja kubadilika.
Mfano, Uwanja Mpya wa Alasaine Ouattara, umejengwa kwa Bilion takribani 600. Hiki ni 60,000 seaters vs Arusha 30,000 seaters. Na kwa kuwa vyote ni AFCON Modern Standards, it's logical hicho cha Arusha, kucost about half of alasaine's.
Kuna watumishi wameongzewa kitoka 13m to 18MKwa kutumia analysis hiyohiyo,,je mishahara ya wafa yakazi iliongezeka Kwa the same rate kutoka kipindi cha mkapa Hadi Sasa?