Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
Bati 25-30tayari tofari 1000 zipo site
Kuna kaslope kadogo sana upande mmoja katika kiwanja..
Ndiyo mkuu, mimi ni fundi.Bati 25-30
Mkuu, vitu vyote ulivyoandika hapo na pesa ya fundi ndio jumla inakuja hapo 1.2 - 2M.?Kwa haraka mkuu hapo Ongeza tofali 300,
Chukua Mchanga
Kokoto gari ndogo,
Saruji chukua 25
Chukua nondo 20
chukua bati 60
Mbao 2x2
Mbao 4x2
Misumari weka saiti
Chepe 3
ndoo 6 nk
Nikitulia nitaweka hesabu sawa hiyo ramani kujenga mpaka kupau ufundi inaweza kucheza 1.2m au zaidi
+255624254690
Baraza Haina vipimo sawa na main Building mkuu,Kwahio fundi hio baraza nayo inatumia bati kama main building? Ngoja niangalie vipimo.
Hiyo ni gharama ya ufundi kuanzia msingi mpaka kupaua batiMkuu, vitu vyote ulivyoandika hapo na pesa ya fundi ndio jumla inakuja hapo 1.2 - 2M.?
Kea maelezo yake tofali 1000 ziko saiti, ndiyo maana nimeshauri aongeze tofali 300Tofali 1000-1200
Hapo sawa, mana ungenifanya nipige ukunga nimechezea nyumba ya maisha kwa siku kadhaa 😂Hiyo ni gharama ya ufundi kuanzia msingi mpaka kupaua bati
Usipojenga usiwaze Sana mkuu, Duniani tunapita, makao yetu Yako mbinguni Kwa BabaHapo sawa, mana ungenifanya nipige ukunga nimechezea nyumba ya maisha kwa siku kadhaa 😂
Ah mm najitolea kuwajengea mahali pa kimvuli wapitaji 😂Usipojenga usiwaze Sana mkuu, Duniani tunapita, makao yetu Yako mbinguni Kwa Baba
Swala la bati umelivalia njuga, mengine aaah 🤣Bati 60 nyingi sana aise
Sawa mkuu nakuunga mkonoAh mm najitolea kuwajengea mahali pa kimvuli wapitaji 😂
Sasa zikipungua bati 5 au 10 si unaenda kununua? Imagine kazi iishe zimebaki bati 10 au 15 si hasara hio. Wewe unaongea kama fundi,mimi naongea kama mtoa hela.Swala la bati umelivalia njuga, mengine aaah 🤣
Main Building itakula bati 30, Baraza itacheza kwenye nusu yake.
.Kwa hesabu za makadilio siyo mbaya roughly kumwambia hivyo
Vibaya useme anunue bati 30 halafu zisimalize kazi mtafute mchawi.
Lakini ni jambo jema ameimba ushauri kwenye kadamnasi ya watu apate maoni tofauti.
Akikamilisha vifaa anicheki nimfanyie kazi
TUko pamoja mkuu, sijapewa hiyo kazi kwahiyo nimetoa makadirio roughly tu.Sasa zikipungua bati 5 au 10 si unaenda kununua? Imagine kazi iishe zimebaki bati 10 au 15 si hasara hio. Wewe unaongea kama fundi,mimi naongea kama mtoa hela.
Vingine hesabu umekadiria afadhali kidogo.