impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,732
- 7,611
Ni kweli kabisaYes nikweli mfano ukiwa ndani ya ndege angani huwezi juwa kama ndege inakimbia speed kubwa .
Hata dunia inazunguka kwa speed kubwa ila hatuioni sababu tupo safari moja. Nimeongeze kwa mtazamo wangu.