Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kuna viumbe wengine wako mbele saana kiteknolojia angalia chombo chao kinavyo ruka speed zero to supersonic (mach 3) ndani ya sekunde
 
We can't feel Earth's rotation or spin because we're all moving with it, at the same constant speed. Earth spins on its axis once in every 24-hour day. ... It's because you and everything else – including Earth's oceans and atmosphere – are spinning along with the Earth at the same constant speed
Yes nikweli mfano ukiwa ndani ya ndege angani huwezi juwa kama ndege inakimbia speed kubwa .
Hata dunia inazunguka kwa speed kubwa ila hatuioni sababu tupo safari moja. Nimeongeze kwa mtazamo wangu.
 
Mkuu tunashukuru kwa darasa zuri, umenifanya nimkumbuke rafiki yetu Kifyatu ambaye naye alikuwa akiyafundisha kwenye jukwaa hili. Alitaka kuanza kufundisha kuhusu Quantum Physics ambayo bado tunaisubiri.
Ni kweli kuna uwezekano wa kuwepo Universe zaidi ya moja?
 
Zitaunganaje wakati kuna maelezo kuwa universe inapanuka kwa speed kali kuliko ya mwanga?
Ushahidi wa kuungana ulikuwa ni wakufikirika lakini hublle telescope ikathibisha kuwa galaxies hugongana na kumezana na kuungana.swali ni lini.
 
Fiction developed by great geniuses n grab human being's minds

R.I.P Gallileo Galilei
 
Ushahidi wa kuungana ulikuwa ni wakufikirika lakini hublle telescope ikathibisha kuwa galaxies hugongana na kumezana na kuungana.swali ni lini.
Hapa panahitaji maelezo ya kujitosheleza, kama universe inapanuka ina maana vilevile umbali toka nyota moja hadi nyingine na kutoka galax to galax unaongezeka, inakuwaje tena ziungane? Au kuna galax ambayo imesimama haisogei? Na zitakapoungana kuna madhara au faida gani itakayowapata viumbe waiomo kwenye system ya nyota hizi? Au ndio utakuwa mwisho wetu?
 
Kama ni viumbe wenye akili kutuzidi, huenda walituwahi kiteknolojia na labda wa wamekuwepo kabla yetu na huenda wako jirani na sisi,au inawezekana wanaijua ramani ya Milky way galaxy vizuri kuliko mwanadamu, na huenda wakawa na maisha marefu sana kutuliko sisi kwa sababu ya madawa na teknologia yao,kikubwa tunachoamini ni kwamba life katika sayari yetu haikutokea kwa bahati.sisi ni mlolongo wa viumbe matrilioni ya viumbe au zaidi ya hapo kwa hiyo iko siku tutagongana.
Itakapofika wakati huo siamini kama duniani kutakuwa na uhai maana ukîesabu matukio ya kila sekunde ya uharibifu unaoikumba Dunia miaka 3000 tu ijayo uhai utatoweka
 
Halafu sijui kwa nini.!
Ukichunguza nyota Sana marejeo yake ni
Mambo ya Kiimani, haviepukiki!?
Inategemea unachunguza kwa kujifunza kitu gani
Ila ukitazama nyota unauona ukuu wa Mungu wetu usivyo na kipimo
 
Back
Top Bottom